King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,342
- 88,521
Mleta mada umekynywa gongo ya Iringa maana huwa haina mchezo Mangu alikua IGP wamwanza?hahahahaahhahahhaah
Mh!!!!!!!! Nawewe! Kuna IGP MWANZA?
Huwezi ukawa msagaji akili ikawa sawa na hakika wana kawe mtashiriki hii laana ya kymchagua msagaji daima
kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya mwenyekiti wa taifa wa wanawake wa chama cha chadema halima mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa halima mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye mdee akaachiwa huru.
Halima mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa chadema kuelekea ikulu kupinga rasimu haramu ya ccm iliyopitishwa na wabunge wa ccm na vibaraka wao wiki hii.
Nimeshaeleza mkuuMpaka Kieleweke tunaomba utueleze Kwa Kirefu, imekuwaje tena alikamatwa mara ya pili hii habari wengi hawakuifahamu, tafadhali
Nimeshafafanua mkuu ni RPC wa mwanza kabla ya kumpiku Andengenye na yeye kuwa IGP ......Mh!!!!!!!! Nawewe! Kuna IGP MWANZA?
Kwa taarifa yako nikitapika nilichokula na kunywa leo Ukoo wako wote mta pigania viumbe kulamba maana ni vitu vya maana , umekwisha nfahamu ?Mleta mada umekynywa gongo ya Iringa maana huwa haina mchezo Mangu alikua IGP wamwanza?hahahahaahhahahhaah
Usijifanye hauko Tanzania mara ngapi Polisi wamecharazwa viboko na vituo kufungwa kwa siku fanya utafiti ujiridhishe bwana wananchi wanajielewa kuni zikichochewa kidogo tu mambo yatakuwa swaafi watalijua jiji of course zile level za hao wenzetu zimesaidiwa na wao kuwa na elimu ya uraiaKwa tanzania ipi ..civil disobedience? ? Unacheza ww those act are for men.....Yemen. .Egypt. ..iraq lakini si tanzania......sanaa tu nothing more
Acha Kujitoa ufahamu Lini waliacha siasa hizo book 7 zitawatokea puaniUnaweza ukaona unadai haki kwa ajili ya watu wako kumbe unadai jela yako ndio maana slaa na mbowe wana kwepa maandamano maana ccm ni wauwaji na hawataki roho kupotea juu yao ndio maana wanakwepa
Analea familia ya Tanzania manake bila mwanamke kama yeye akina salma wangetafuna hata midomo yetu wakafanya fedhahivi kaolwa huy dada, hana majukum ya kulea famiia yake
hehehe wafuasi wa CDM munafaa kufanya kazi ktk magazet munajua kupamba habari.
Mm npo Ilala hapa na asubuhi nilienda IFM ila sijaona huo waswas ambao unasema ww sijaskia hata mtu mmoja kuongelea kuhusu Mdee kukamatwa, labda ktk vijiwe vya kahawa ambapo sijapita leo.
Acheni kupamba tu kama magazeti yanavopamba wachezaj mpira.
Kwan mukiandika ukweli tu munapungua wapi lazima mutie hayo maujanja yenu eti?