Halima Mdee aachiwa huru

Hivi bado kuna ka chama kanakoitwa ccm zama hzi?maana sijakasikia kabisa
 
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
Chadema hakika choka mbaya akinamama.kumi na tisa hahahahahahaha
 
Sidhani kama kuna utawala katili na
wakidiktena na wakinafiki, Duniani, kwa sasa, kama utawala huu wa Tanzania wa awamu ya nne...Rais Kikwete alikutana na Mbunge wa kawe, Halima mdee wiki iliyopita katika Sherehe za ufunguzi wa barabara..Rais alionyesha urafiki,akampongeza Mdee kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wanawake Chadema kisha akamwambia ameasikia yeye na wanawake wa Chadema wanataka
kumwona, kwa tabasabu akamwambia yuko tayari kuwasikiliza na wanakaribishwa sana Ikulu.leo akinamama hao wakiwa katika harakati za kwenda kumwona Rais,
wanazuiwa na kupigwa...Ni kama vile
alimwambie Mdee karibu kisha akawaambia polisi wakiandamana piga bila huruma!...
 
Akili za polisi wa Tanzania hazina tofauti na za mbwa wao
 
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.

Jimbo.la kawe linanyemelewa na mchumba wa slaa bi. josefin
 
Ulitaka aandamane na bibi yako?.Shwaini mkubwa wewe

Chama kimepitea kabisa hakika siasa mbaya wamebaki matamko tuu.unawezaje kujivunia nguvu ya umma.kiongoI wa kitaifa kuandamana na wanawake makwnge wenzake kymi na tisa
 
nchi haina polisi bali ina vikaragosi.
 
Chagadema ni kichekesho tupu lana ya zito inawatafunayy
 
tatizo la maandamano yoyote yale ni chanzo cha uvunjifu wa amani,na hakuna serikali yoyote duniani inayoridhia maandamano na ukiona imekuwa hivyo imelazimu tu lakini maandamano hayapendeki ni kama mtu anakula chakula na pilipili japo anawashwa lakini anakula tu apate ili chakula kipite,hivyo polisi wala serikali wasilaumiwe ni hali halisi tu tukubali matokeo.
 
Hawajamkanyaga kama nanihii kule iringa?
 
Ccm 2010 ilikufa kimyakimya ila kwa sasa imejifia kwa kishindo cha gwaride
 

Walitakiwa wamkamate kwa utaarabu na siyo kumpiga
 

wanawake au mashangingi mdee ni mke wa nani msagaji yule na mvuta bang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…