Halima Mdee aachiwa huru


umaarufu cdm wanao sema wanapambana ili misukule mpate haki,kama juis ngapi wameacha wangeshakubali kuolewa toka kitambo kama akina mrema&cheyo
 
Jamini hii katiba sio ya chama bali niya wananchi mambo ya chama yawekeni pembeni mbona maCCM mnakuwa kama nyumbu mnafuata mkumbo sana kuwen na akili za kujitegemea
 
Kwanini kwenye KATIBA hii ya chenge wasingefuta vyama vya upinzani ikiwa hawaruhusiwi kuandamana na kudai haki za raia?????????????????????????????!!!!!!
 
 
Hivi wewe unaeshabikia polisi wa Tanzania una akili kweli,unawashabikia polisi waliokiwa wazoefu wa kunyanyasa walalahoi kama vijana watafuta riziki kihalali wa bodaboda na kuwapora vijisenti vyao kwa kuwabambikia makesi ya uongo,unashabikia polisi ambao kesho watambambika kesi ndugu yako,bila kijali wewe ni ccm au chadema,polisi wanao sindikiza na kuwapa mbinu majambazi na kuwapa kesi raia wema,nasema wewe si mzima kwa kweli,hao wamama wamekosa nini hadi wasumbuliwe kama kweli polisi hawa wana akili.
 
Nashukuru Mungu Sina Ndugu ambaye ni polisi.......
 
Nashukuru Sina Ndugu ambaye ni polisi.......
 
Huyu dada atawasumbua sana tena sana tu mpaka ahakikishe demokrasia imeakaa sawa nchi hii.Utamsikia tena muda si mrefu.
 
Wale Nyumbu wa kijani waliokuwa wanasema viongozi hawaongozi maandamano wameona eh!! Na mijbwa aka policcm your days are numbered for sure!!Bastards
 
Nakuaminia kamanda H. Mdee ni wachache kama wewe usikate tamaa. Ili tujikomboe baadhi yetu tutakumbwa na misukosuko mingi.

Huyu bibie si juzi tuu alikutana na Raisi, kwa nini asimalizane nae pale pale . Tunajua wasaliti wengi ndani ya chadema wanapo taka peleka report ya dharura, mpango unafanywa na vyombo vya usalama ili waonekane wanaikandamiza serekali ili washikwe na kuwekwa ndani, hapo wanatoa report yote, na wanatoka kwa mbwembwe na kuzidi kuaminiwa na chama chao . Story inaendelea hivyo. Tutaona vituko na hivi karibuni .
 
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
kakikundi hako kamerushwa live kwenye media wakati wa taarifa za habari. Mbaya zaidi imerushwa na itv ambayo wanazi wa chadema wanaisifu na kuishabikia mno.

source: ITV habari....
 
Kitendo cha polisi kuwapiga wanawake, hasa Halima mdee, ni kitendo cha aibu na kinatakiwa kilaaniwe na Watanzania wote wenye akili timamu. Wanawake wote bila kujali wewe ni CCM, CUF, NSSR mageuzi ni lazima mtoe tamko kwa wanawake wenzenu kudhalilishwa kiasi hiki. Wanawake kwa asili yao kimaumbile si watu wenye nguvu sana, inasikitisha kuona polisi wanaume wanampiga Halima Mdee kwa virungu utadhani wanakamata jambazi. Kitendo hiki kimenipa huzuni sana, ingawa kuandamana ni haki ya watanzania lakini kuwapiga wanawake virungu ni aibu. Nchi zingine watu wanaandamana lakini polisi wanawakamata kwa kwa ustaarabu, si kama ilivyotokea leo. Wito wangu, wanawake wote, watanzania wote bila kujali tofauti zetu tulaani kitendo hiki cha kihuni.
 

Mungu yu pamoja na CHADEMA. CHADEMA ipo kwa mipango ya Mungu.
 
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.

M.s.e.n.g.e wewe
 
Mwenyewe huwa wana nishangaza sana polisi badala ya kulinda amani wanageuka kutumika kisiasa wakati wenyewe wana maisha magumu ka nini waache sifa za kijinga wauaji wa albino wana fahamika hawakamatwi kutumia nguvu nyingi kwenye upuuzi mambo ya kitaifa na yo affect wananchi kama wezi wanaachwa ila ndo nchi ilipofika kila mahali hamna haki only selfshness imetawala kila mahali wananchi nao wawe wanaua tu wakileta kiherehere chao kutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…