Ivi halima mdee alitakiwa kukamatwa na polis wa kike? Mbona nasikia ana mke..

Kama hujawahi kulima mahindi basi chunguza lazima uizike mbegu ukijua umeikomoa kumbe umeilaza kwa muda huamka na kutoa mmea utakaotoa kinachofanana nayo kwa wingi.kinachosubiriwa ni muda tu ukifika utajua maana ya usemi huu.Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED
Yani katika mijinga member huku hakika wewe umo Kati Yao! Kichwa kubwa fikra yako ndogo hauna haya msukule wewe! Ficha aibu yako kwenu huko!
Lengo ni kufikisha ujumbe na si kumwonaa rais kwahiyo mpaka sasa ujumbe umefika kwa 100%Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED
Acheni unafiki nyie Waislam walivyokuwa wanapigwa kwenye maandamano yao huo utu wenu ulikuwa wapi si mlikuwa mnawapa pongezi polisi, Ponda kapigwa risasi huo utu wenu ulikuwa wapi zaidi ya matusi au binadamu wenye kustahiki haki ni Chadema.
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!
wana ndoa kabisa?
Naomba ufafanuzi kwenye rangi hapo ka kuzingatia muktadha wa JF kunapokuwa kuna mamneno kama hayo .
Kama nimemuelewa (Muhusika alieachiwa kwa dhamana alipata Fimbo lugoda)
Nguvu ya umma ipi sema ameachiwa tu baada polisi kujiridhisha na maelezo
Nchi hii ina wajinga wengi, na 95% ya wajinga hao wapo CCM. Hata ukiangalia wanavyochangia humu na wanavyojenga hoja utagundua akili na elimu zao ni za viwango vya hali ya chini sana. Ikitokea amemalizia elimu ya juu, bado utaona reasoning yake ni sawa na ya darasa la 7 mwenye akili.
Chama ambacho uimara wake umejengwa kwenye ujinga wa wanachama na mashabiki wake hakiwezi kudumu maana ujinga siyo wa kudumu.
Halima anazuiwa kwenda Ikulu lakini akina Chande Freemason wanapadharau imefikia hatua kama Rais anashida yeye ndio anaenda kwa Chande.
Mpumbv kweli wewe, hayo mamia yako wapi? Acha ushabiki wa kshamba. Askari gani wanaume waliompiga yule teja?? Mbona umeweka picha ya watu sita badala ya hayo mamia ya uzushi?Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
Uma ndio nini wewe msukule?
MAVI matupu toa uchafu hapa!! Uruhusiwe au kuomba haki ya kikatiba!! AGHHHHHHHHHHHH!!!! your days are numbered!!Hata kama ulionana na Rais wakati wa ufunguzi wa barabara hiyo haimaanishi usiombe kibali cha kuandamana. Au Rais aliwaandikia polisi akawaambia wakuruhusu kuandamana? Wewe mwanasheria unaelewa vizuri maswala ya taratibu.