Hali zenu wanaJF

Olecranon

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,384
Reaction score
751
Mimi ninaitwa Olecranon mtoto wa mzee Olecranon Fossa (sr). Nimekuwa ninafuatilia majadiliano katika forum hii na kuvutiwa sana na jinsi wengi wenu mnatoa michango mizuri hasa kuhusu hali ya taifa letu. Hivyo nimeona na mimi nijiunge ili niweze kupata fursa ya kuchangia mawazo yangu. Idumu JF forum
 
hali zetu ni zetu hatujui zako mwenzetu,karibu sana
 
Karibu Mkuu Olecranon. Usihofu hutapata Osteochondroma huku!!
 

Mpwa wa Trochlear na Capitulum, na binamu wa Coronoid Process, na mjukuu wa Supracondylar Ridge.
karibu sana JF.
kuna majukwaa mengi yanayom-fit kila mwanaJF.
Kama una gamba karibu jukwaa la siasa,
kama unabroken heart karibu jukwaa la MMU
kama unaumwa karibu JF Doctor, ila wewe katibu watu,
na kwa mapumziko nenda chumbani utawakuta kina MR, Mchonga, El-Toro.
By the way wape hi kina Trapezoid, Hamate, Pisiform na Scaphoid.
 
karibu karibu njomba,
najua wewe ni mwenyeji humu tayari,ila mchango wako ni wa muhimu sana
ili JF iweze kuendelea kuwepo hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…