Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,353 Reaction score 26,194 Dec 27, 2012 #1 Baada ya miaka kadhaa ya kuchungulia kama mgeni,sasa nimeamua kuingia ndani nami niwe mmoja wenu. Nitachangia na kuchangiwa hoja. Mko poa lakini? Tupo pamoja!
Baada ya miaka kadhaa ya kuchungulia kama mgeni,sasa nimeamua kuingia ndani nami niwe mmoja wenu. Nitachangia na kuchangiwa hoja. Mko poa lakini? Tupo pamoja!
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Dec 27, 2012 #2 karibu sana jazba hazitakiwi kama mtu kakuudhi bora ukae kimya kuepuka bun. sio kila mtu atakukubali na pia sio kila mtu utamkubali fikra mbadala na busara zaidi
karibu sana jazba hazitakiwi kama mtu kakuudhi bora ukae kimya kuepuka bun. sio kila mtu atakukubali na pia sio kila mtu utamkubali fikra mbadala na busara zaidi
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,419 Reaction score 3,050 Dec 28, 2012 #3 Karibu Mkubwa.
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Dec 28, 2012 #4 Hali zetu zimefanyaje?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,960 Reaction score 13,937 Dec 28, 2012 #5 Karibu sana JF mkuu.
Magwangala JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,986 Reaction score 2,373 Dec 28, 2012 #6 Petro Eusebius Mselewa karibu sana mkuu!
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Dec 30, 2012 #7 Petro,unakaribishwa.
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 57,127 Reaction score 46,589 Dec 30, 2012 #8 Karibu sana.
zenmoster JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 951 Reaction score 203 Dec 30, 2012 #9 Yo warmly welcomed
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,325 Reaction score 111,536 Jan 1, 2013 #10 Magwangala said: Petro Eusebius Mselewa karibu sana mkuu! Click to expand... umelijua vipi jina lake la kati?
Magwangala said: Petro Eusebius Mselewa karibu sana mkuu! Click to expand... umelijua vipi jina lake la kati?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,325 Reaction score 111,536 Jan 1, 2013 #11 Karibu sana JF...