Laptop01
JF-Expert Member
- Nov 29, 2009
- 1,365
- 796
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!
Am very sorry for the JF Senior member to have such a mindset full of religious extreemism and political impurities. Kama kweli wewe ni muislam, UNAUCHAFUA HUO UISLAM, KAMA unachokisema na kukitetea kuna mtu atakiunga mkono basi wewe na yeye ni wakala wa ibilisi katika amani ya Tanzania.
UNASTAHILI BAN tena haraka! Unachafua amani siyo tu ya jukwaa bali ya nchi nzima. lakini pia umedhihirisha uwezo mdogo wa kuitakia nchi hii mema. Ndugu Muombe sana Mungu akujalie kufikiri nje ya mipaka ya kawaida. Nenda mbele kidogo kifikra ili uweze kuonekana kuwa mpenda nchi.
Uchochezi wako umenisikitisha sana, umenifadhaisha sana na kuukosea sana uislam wa kweli.
Endelea kujibu ili tuendelee kukufunza mapito ya amani ya kweli.CDM wakikosea wataelimishwa hapahapa kama tunavyokuelimisha wewe hata kama kichwa chako ni kigumu kupata ilimu.