Hali ya Watanganyika Zanzibar 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya Watanganyika Zanzibar 2011

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Marcossy A.M, May 12, 2011.

 1. M

  Marcossy A.M Verified User

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 59
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ndugu wa JM,
  https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/tongue.png
  :tonguez:
  Kwa kweli hali ya watu waliounguziwa maeneo yao inatisha na hawana msaada wowote.Tokea ijumaa walikuwa wamepewa kilo 50 za mchele,50 za sembe,kilo kumi za sukari na maharage kutoka kwa mkuu wa wilaya.Wamepewa vyumba viwili vya maduka ndio wamepewa hifadhi.Mpaka jana hamna msaada.Waathirika ni takriban watu mia na kumi.Chakula hicho kinatosha kwa siku tano? Napata wasiwasi sana juu ya hali inavyochukuliwa hapa na sielewi kama viongozi wetu wako tayari tulijue tatizo na kulitatua.

  Nawasilisha kwa sasa.
   
 2. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao wanawacheka tu, wawe serikali au wananchi, kwa kweli Watanganyika wamekosa mtetesi.
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,286
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  Du jamani ningewaomba Serikali ya Muungano hasa Waziri wa mambo ya ndani uai Ally Nahodha aende kaingilie ati la sivyo wajichangishe na warudi bara. Hawa watu wanataka waishi wenyewe, wafanye biashara wenyewe nk. nilipanda meli yao kweli ilijaza mavyakula mengi toka Dsm sasa hawataki Muungano lakini wakiwa huku wanakuwa wapole hasa.
  SI WEMA HAWA JAMAA MTAJANIAMBIA

   
 4. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naanza kupata hisia kwamba kuna ajenda ya siri hapa.

  Naanza kupata hisia kwamba hivi vibanda vilichomwa kwa makusudi na kwa lengo fulani.

  Kwanini hili linakuzwa sana kama vile hakuna matokeo makubwa kama au kuliko hili?

  Wazanzibari wamekuwa wakiuliwa na kunajisiwa na kufanywa vilema kila wakati wa uchaguzi wa vyama vingi 1995 na Jeshi kutoka Bara (soma Tanganyika) na wala hatujasikia balaa hili la sasa.

  Kama mnatafuta sababu ya kuwaua hao "Wapemba" na kuwaibia mali zao, mseme tu lakini msitafute visingizio.

  Majuzi tu, kaibiwa kipochi na Shs 5000 mke wa mwanajeshi na ikapigwa Jang'ombe nzima na hatukumuona Makamo wa Raisi wala Waziri wa Mambo ya Ndani kusema lolote. Leo kumeungua vibanda vya vinyago, mnataka mpaka Kikwete atoe kauli.

  Muungano hautakiwi ZANZIBAR, vibanda or not.

  Tafuteni mpango mwengine, huu tumeujua wazee.


  View attachment 29869


  View attachment 29870
   
 5. M

  Marcossy A.M Verified User

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 59
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu,
  Mpashaji habari wangu amenijuza juu ya yale aliyoyaona Zenj; na hapa ni sehemu ya taarifa yake:

  "Utafiti unaonyesha kuwa suala hili lilipangwa ******* na baada ya ***** jioni wakatoka watu takriban 60 hivi wakiwa na mapanga,visu,marungu,mashoka na kila mtu na chupa ya petrol na kwenda kuchoma vibanda hivyo hawakuwaruhusu kuchukuwa chochote.Kwa hiyo walichoma kwa ajili ya suala la ***** na ubara ambapo inasemekana wabara wamekuja kuchukuwa nafasi zao za kazi kwa kuwa wameajiriwa wengi kwenye mahotel.Kwa hiyo kitendo kimefanywa kwa sababu ya ***** ,utanzania bara na masuala ya kazi.Lakini kwa sasa wanaficha wanasema ni suala la ulevi na ukahaba.Tunajiuliza uvutaji unga si ulevi au ni bia tuu? Kama ni umalaya, je hawa vijana wa kiume wanaojiuza huku wanatoka bara?
  Baada ya kuona hali ya huduma za kijamii za watu wale si nzuri niliongea na (***** kiongozi wa kundi moja la jamii) akanipa mablaketi na mashuka,vyakula ,nguo na vyombo.Ila ameniasa nisiseme zimetolewa na **** . Jioni ya jana tutawapelekea misaada na tumefanikiwa kupata waandishi wa cahannel ten,TBC na TVZ ili kuhamasisha watu wengine kuwasaidia.Hizo ndio some updates.
  "

  Naomba nirudie hapa kuwa hali eyote ya uvunjifu wa haki za binadamu ni tendo la kukemewa na kupingwa kwa nguvu zote kubalifu. walichofanya ndugu zetu Zenj kinahitaji kutolewa maelezo na kukoma, haraka.
   
 6. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mseme nini, hii ni sensitionalism tu.

  Mbona kule mjini Gizenga Street wapo tu na biashara zao mbona hawajachomewa?

  Hao wameingia kijijini na wenyewe wapo.

  Wacheni kuikuza hii issue bure.
   
Loading...