mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 608
PumbavuBadala ya kuja kulalamika hapa hebu muonyeshe huyo mjapani kwa vitendo, yaani jitume, onyesha weredi hadi akuheshimu! Vinginevyo acha kazi njoo hapa kwenye baraza la gahawa utusaidie kuisoma namba!
Well saidChukua video kwa simu yako wakati akinyanyasa mtu, halafu tuma hapa JF, Whatsapp Facebook ,Youtube na kadhalika.
Watanzania bwana!!!!!!!!!!Wafanyakazi wa Kitanzania hasa wale wa mkandarasi mkuu wa mradi huo Sumitomo Mitsui wamekua wakinyanyaswa na kudhalilishwa sana na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo hasahasa kwa kiongozi wa ujenzi ambaye ni raia wa Kijapani anayetambulika kwa Jina la Akiharu Ishii, Huyu jamaa ni tatizo pale,mpaka sasa wafanyakazi takribani watano wameamua kusitisha mkataba wa ajira kutokana na manyanyaso yake,Anapiga ,Anatukana mbele ya hadhira,Anadai waziwazi kwamba hawezi fanywa lolote kwa sababu hela za mradi ni za msaada n.k
Mbali na kuitisha vikao vya kumuonya amekua ni mtu asiyebadilika na mwenye dharau na kejeli,Wafanyakazi wa kiTanzania walio wengi pale wanavumilia tu kwa sababu hali ya mtaani ni ngumu ila hali si shwari kwenye mioyo yao.
Kibaya zaidi kwenye huo mradi kuna raia kama 20 wa kifilipino wanaofanya kazi kama mainjinia , huyu jamaa amekua akiwapa hadhi ya juu sana hao jamaa na kukandamiza waTanzania kwa madai kwamba Mainjinia wakiTanzania hawajui lolote ni sawa na unskilled labours,yote anayoyafanya kwa waTanzania hathubutu kumfanyia mfilipino hata siku 1.Tunauomba ubalozi wa Japan na serikali yetu kwa ujumla ilione na kulifanyia kazi hili suala .huyu mtu ni kero sana
Asante sana,Pumbavu
Nimegonga like kuuuubwa, hatujitambuiSiku moja nipo kwenye foleni ndani ya daladala tukiwa tumezuiwa kupisha msafara wa Mkulu. Nikajikuta nawaangalia wafanyakazi wa kitanzania wakifanya kazi zao. Nilichokiona nilijiambia kama ndio wakandarasi wazawa basi tutasubiri sana kukabidhiwa mradi ulikamilika. Yaani wanafanya kazi kwa uvivu na kwa kutegea fulani. Hata kama mimi ningekuwa huyo Mjapani kwa hali ile ningekuwa mkali kama kweli nataka kaxlzi ya kiwango na inayokamilika kwa wakati. Tubadilikeni jamani, mengine tunayoyalalamikia humu ni kazi ya mikono yetu. Kama kuna madai ya haki yafakisheni kwa wahusika kwa itaratibu mliojiwekea!!
Pole ndugu yanguAsante sana,
Shida ya hii, ni kulipwa kwa siku. Hivyo wana buy time waendelee kulipwaSiku moja nipo kwenye foleni ndani ya daladala tukiwa tumezuiwa kupisha msafara wa Mkulu. Nikajikuta nawaangalia wafanyakazi wa kitanzania wakifanya kazi zao. Nilichokiona nilijiambia kama ndio wakandarasi wazawa basi tutasubiri sana kukabidhiwa mradi ulikamilika. Yaani wanafanya kazi kwa uvivu na kwa kutegea fulani. Hata kama mimi ningekuwa huyo Mjapani kwa hali ile ningekuwa mkali kama kweli nataka kaxlzi ya kiwango na inayokamilika kwa wakati. Tubadilikeni jamani, mengine tunayoyalalamikia humu ni kazi ya mikono yetu. Kama kuna madai ya haki yafakisheni kwa wahusika kwa itaratibu mliojiwekea!!