Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,067
Haha hao walisha pewa lana zamani etiMkuu unauchochezi
Wewe unataka Israel na Iran zichapwe?
Usiombee vita ndugu yangu, kuna uhai wa watu unapotea chief
Vita mbaya sana, mimi Wayahudi siwaelewielewi sana hawa, uwezo wao ni kama kuna miungu ndani yake
Lakini ndio wafanya biashara wakubwa Kenya, Tanzania,Uganda, ZambiaYemen na somalia zimetenganishwa na mkondo wa bahari na zote ni maskini. Wananchi wanalala njaa huku serikali yao inawekeza kwenye vita vya kidini
Ni kweli sioni mantiki ningeumia Sana Kama ningeona kiwanda Cha drones na makombora Yemeni kimefutwa Sasa hapo si ujenzi TU unaanza upya majengo basiKuna binadamu humu anaitwa g turn alidai kwenye comment moja kuwa haoni mantiki ya hilo shambulizi.MPAKA LEO NAMSHANGAA
Ukielewa unasonga mbele kwenye hoja. Usipoelewa unarudishwa darasa moja chiniUwanja wa ndege wa. ndege kana kwamba kuna uwanja wa ndege wa magariπ³π³π³π³π³π³π³
Haupo serious ndugu yanguNi kweli sioni mantiki ningeumia Sana Kama ningeona kiwanda Cha drones na makombora Yemeni kimefutwa Sasa hapo si ujenzi TU unaanza upya majengo basi
Sio ishu( not an issue)Lakini ndio wafanya biashara wakubwa Kenya, Tanzania,Uganda, Zambia
Wewe upoHaupo serious ndugu yangu
Nchi maskini kabsa miundo mbinu muhimu ( bandari na airport) vinachakazwa unaona ni kawaida tu!!!!!???? Nchi yenye food insecurity!!!!!!!!! Nchi inayotegemea ku import chakula!!!!!!. Wew unaongelea kiwanda cha drone.... seriously!!!!.Wewe upo
Haina maana Mimi nishibe jiran yangu analala njaa huu utaratibu katika Uislam ni dhambi kubwa wao Wana mtetea ndugu Yao Alie hana hata uwezo wa kuagiza chakula hivyo nyezo za kumsaidia jiran yangu ni muhimu kuliko chakula ambacho Mimi ninauwezo wa kukiagizaNchi maskini kabsa miundo mbinu muhimu ( bandari na airport) vinachakazwa unaona ni kawaida tu!!!!!???? Nchi yenye food insecurity!!!!!!!!! Nchi inayotegemea ku import chakula!!!!!!. Wew unaongelea kiwanda cha drone.... seriously!!!!.
Dah. Kiongozi, wakarudi kunyonyesha watoto wao π€£π€£π€£. Sure wanawake walishiriki kwenye yale mashambulizi. Halafu vingi ni vitoto vya umri wa 20s tu hivi hata hawawagi wakubwa. Ila Iran wamejitajidi sana kuficha madhara ya yale mashambulio. Walioniacha hoi ni wale walioingia ndani ya moja ya maeneo ya ulinzi/usalama ya Irani wakati masahambulizi yanaendelea, na kuondoka na nyaraka. Raia wanapumbazwa na milipuko huku wahuni wameshuka ardhini na kuondoka na mafaili. Israel ni habari nyingine aiseeRitz Adiosamigo Webabu inabidi kutoa tamko. Tulishangilia sana Yemen walivyorusha makombola Israel. Kuna mmoja alisema haiwezekani ndege za. israel zikaenda piga Yemeni umbali mrefu. Israel kaenda kapiga. Karudi anakunywa kahawa. Nakumbuka Iran walitumwa mademu wakatandika wakarudi kunyonyesha watoto wao kama vile nothing happened. Operation sijui Promise imeota mbawa mpaka leo.
Sawa!Haina maana Mimi nishibe jiran yangu analala njaa huu utaratibu katika Uislam ni dhambi kubwa wao Wana mtetea ndugu Yao Alie hana hata uwezo wa kuagiza chakula hivyo nyezo za kumsaidia jiran yangu ni muhimu kuliko chakula ambacho Mimi ninauwezo wa kukiagiza
Yemeni haipigani vita za kidini hio ni geopolitical war.Yemen na somalia zimetenganishwa na mkondo wa bahari na zote ni maskini. Wananchi wanalala njaa huku serikali yao inawekeza kwenye vita vya kidini
Dah. Kiongozi, wakarudi kunyonyesha watoto wao π€£π€£π€£. Sure wanawake walishiriki kwenye yale mashambulizi. Halafu vingi ni vitoto vya umri wa 20s tu hivi hata hawawagi wakubwa. Ila Iran wamejitajidi sana kuficha madhara ya yale mashambulio. Walioniacha hoi ni wale walioingia ndani ya moja ya maeneo ya ulinzi/usalama ya Irani wakati masahambulizi yanaendelea, na kuondoka na nyaraka. Raia wanapumbazwa na milipuko huku wahuni wameshuka ardhini na kuondoka na mafaili. Israel ni habari nyingine aisee
Hizo Story za kanisa la Kata ya Msongozi labda mnalishwa uwongo sana hizo habari umezitolea wapi Israel toka lini walikuwa wa kweli. Mimi nakuambia hakuna hata ndege ya Israel iligusa mpaka wa Iran walishia border ya Iraq wakarusha Missiles kama vichaa vile πHawa madogo akina Adiosamigo Webabu mpaka leo wapo kwenye denial wanabaki tu kulia lia na kupaniki. Irani alipata kipigo kibaya sana. Mpaka leo haamini ndo maana amenyamaza. Humsikii tena akipapatika. Kachezea kipigo toka kwa mademu. Just imagine mademu tu wa miaka 20s wanaingia ndani ya nchi yako wanalipua maeneo yako ya kuzalishia silaha wanachukua na nyaraka wanaondoka. Na wewe ndo ulikuwa unaonekana taifa kubwa tegemeo. Lazima uone aibu. Irani imefukuza sana majemedari wake kwa aibu.
Dogo hujielewi. Mbunge wa Iran anaongea analalamika wewe kilaza tandale kwa tumbo unabisha... Nyie hampendi elimu kabisa. Kwa nini? πHizo Story za kanisa la Kata ya Msongozi labda mnalishwa uwongo sana hizo habari umezitolea wapi Israel toka lini walikuwa wa kweli. Mimi nakuambia hakuna hata ndege ya Israel iligusa mpaka wa Iran walishia border ya Iraq wakarusha Missiles kama vichaa vile π
Mbunge wa Iran kumbe wa bunge ni Makamanda wa jeshi sio, hebu tupe mbunge gani alisema ndege za Israel zilingia Iran.Dogo hujielewi. Mbunge wa Iran anaongea analalamika wewe kilaza tandale kwa tumbo unabisha... Nyie hampendi elimu kabisa. Kwa nini? π
Mbunge wa Iran kumbe wa bunge ni Makamanda wa jeshi sio, hebu tupe mbunge gani alisema ndege za Israel zilingia Iran.