Hali ya usalama wetu mitandaoni

Afadhali situmii WhatsApp!!! Ila tunakoelekea ni kubaya sasa!!
 
headed paper, mhuri, saini vingeongeza uzito wa ujumbe na kudhihiri urasmu.

hatahivyo mwanzo wa ngoma ni lele na mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.
 
Watu wengine akili zao sijui wamezikopesha wapi?
Haya magroup ya whatsapp hayapo kwa ajili ya umbea au uhuni au kuipinga serikali tu.
Yapo magroup ya family, ukoo, schools mates, VICOBA, ujasiriamali, ushirikiano, ukabila, ukanda, na mengine mengi kwa sababu ya kusaidiana wakati wa shida na raha. Hii ni kuingilia uhuru wa mtu kabisa. Siyo magroup yote yana mlengo wa kushoto. Huyu afisa aliyetoa hilo tangazo atakuwa ni yule wa mfumo huu; form four- depo CCP Moshi- certificate- diploma- degree- post graduate- masters. Yani full kulazimisha shule.
 
Kwa hiypo clip ya kuishikia. Hili si igizo. Ngoja nileft magrupu faster.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana mkuu.
Kweli askari wengi wamelazimisha shule.
Mtu anayeweza shule mfumo wake unatakiwa kua hivi(Tanzania)
Primary school===>Secondary school===>Advanced level===>First degree==>Masters degree===>PhD.

Sasa utakuta mtu kakomaa kuanzia cheti mpaka masters kudadeki kwani ugomvi[emoji23] [emoji23]
 
Tangazo halina id ya mtoa tangazo, hakuna mhuri wa mamlaka husika, ni kavukavu tu! wataelewa wenyewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…