Polisi ni wengi kuzidi hata idadi ya wapiga kura na wametanda kila mahala.Hali hii imeathiri hata muitikio wa wapiga kura.Mpaka sasa watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura.Haijulikani kuna nini nyuma ya pazia juu ya uwepo wa askari wengi kiasi hiki.
Tutaendelea kuhabarishana zaidi.
Ndugu, hao unaowaita POLICCM are as deadly as a rattlesnake! Watu wataogopa kuchezea virungu vyao na wataacha kabisa kupiga kura.Hao ni POLICCM, msiwaogope.
mwanza kuna uchaguzi gani jamani saa nne si imeshapita?
mwanza kuna uchaguzi gani jamani saa nne si imeshapita?
washindwe katika jina la Yesu
mwanza kuna uchaguzi gani jamani saa nne si imeshapita?
Duh!!!mwanza kuna uchaguzi gani jamani saa nne si imeshapita?
washindwe katika jina la Yesu
washindwe katika jina la Yesu
mwanza kuna uchaguzi gani jamani saa nne si imeshapita?