Mideko
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 36,567
- 196,941
Wewe ni mmoja wao kati ya hao Wajinga, huo mradi uliletwa Kwa lengo la kupunguza kero za Daladala badala ya kuondoa au kupunguza ndio wameongeza kero za usafiri.kuna watu humu wajinga kwa kiwango cha lami, hivi dar es salaama ni lini watu waliacha kujazana kwenye daladala, ni lini wa tuliacha kusimama kwenye daladala. kuhusu kuharibika kwa miundombinu ya udart, waharibifu wakubwa ni sisi wenyewe raia, kwenye udart kuna sehem imeandikwa no standing area, ila utakuta kuna abiria zaidi ya 10 wamejazana hapo, hebu piga picha ni nani unataka aje kukwambia ondoka hapo akati pameandikwa usisimame, kuna yale mabasi ya tera, utakuta watu wamekalia zile fins pale kwenye maungio, and they are hapy tu likikata kona madude yanapanukia kwenye mikundru yao wanasikia raha, ipo siku mjinga mmoja likipanuka azame ndani likirudi limbane. nimeona hata bomba za kushikilia zimeanza kung'oka boriti kule juu, jamaa nao hata hawazirudishii.tusianze kulaumu kijinga kabla ya kufanya utafiti.