Hali ya Usafiri na Wasafiri BRT ni mbaya mno. SUMATRA Mpo Wapi?

Kwa hali niliyoshuhudia nilipopanda basi la Gerezani kuelekea Kimara ni ya kusikitisha sana, Kituoni Gerezani abiria waliosubiria gari kwa muda mrefu wamejazana pale miongoni mwao ni wa mama wenye watoto wadogo, wazee na wanafunzi, hatimaye linakuja basi kupakia ilihali ndani wamo abiria waliozunguka nalo!

Kwa vile watu wamechoka kusubiri kituoni wanaamua kuvamia hivyo hivyo basi linajaa kupita maelezo, basi linafika kituo cha msimbazi kundi lingine kubwa linavamia basi na mpaka milango kushindwa kufunga! Hii ni hatari sana, basi linafika kituo cha faya na vingine vifuatavyo kuna wanaolazimisha kuingia ndani wanashindwa na kuna wanaotaka kushuka wanashindwa! Watoto wadogo wanalia kwa kuminywa na tulisikia kuwa hivi karibuni kuna mama mwenye presha alianguka ktk kusukumana akakimbizwa muhimbili maana alianguka presha ikapanda.
Nachoshangaa Sumatra hawaoni shida hizi wao wakiwa wadhibiti na wasimamizi wa vyombo vya usafiri majini na nchi kama?

Au usafiri wa mwendo kasi hauwahusu? Tafadhali Sumatra hatua za haraka zitafutwe kuondoa usumbufu huu. View attachment 801926
huyu maza ana miguu mizuri sana....
 
kuna watu humu wajinga kwa kiwango cha lami, hivi dar es salaama ni lini watu waliacha kujazana kwenye daladala, ni lini wa tuliacha kusimama kwenye daladala. kuhusu kuharibika kwa miundombinu ya udart, waharibifu wakubwa ni sisi wenyewe raia, kwenye udart kuna sehem imeandikwa no standing area, ila utakuta kuna abiria zaidi ya 10 wamejazana hapo, hebu piga picha ni nani unataka aje kukwambia ondoka hapo akati pameandikwa usisimame, kuna yale mabasi ya tera, utakuta watu wamekalia zile fins pale kwenye maungio, and they are hapy tu likikata kona madude yanapanukia kwenye mikundru yao wanasikia raha, ipo siku mjinga mmoja likipanuka azame ndani likirudi limbane. nimeona hata bomba za kushikilia zimeanza kung'oka boriti kule juu, jamaa nao hata hawazirudishii.tusianze kulaumu kijinga kabla ya kufanya utafiti.
usitetee upumbavu DART wameshindwa kuiendesha huo mradi....hayo yote unayoyasema ilikuwa ni jukumu lao kusimamia,ruti ya Kimara gerezani,kivukoni ni janga....
 
Inasikitisha sana kama vioo ngozi hawalioni hili la BRT. yaani UDART imeoza kama paka mfu
 
Ushamba unahusiana vipi na huduma za kiwango cha chini cha usafiri wa BRT?

Watu wamejaa kupita kiasi na wengine imewalazimu kusima mlangoni palipo andikwa NO STANDING na kusababisha mlango kushindwa kufunga.
Sisi tunafikisha uhalisia wa tatizo kwa wahusika watatue, wewe unasema huoni tatizo. Kama sio siasa zinazokufanya utetee tatizo ni nini?

Haya nifundishe ushamba wangu upo wapi nielimike nisiwe mshamba.

Pia niambia mahali gani ulikotembelea ukakuta mradi kama huu na watu wana minyana kiasi kile na kwao imekuwa ndio kustaarabika(kutokuwa mshamba*)?

Sio lazima kila kitu utetee au uchangie. Kama haujui hali halisi ya kinachozungumziwa, ni heri kukaa kimya na kuficha udhaifu wako .

Ushamba huo huo hata mnacholalamikia hamna proof..

Kaa utulie.. punguza gazeti lako halafu nije nilisome tena. Nitagi
 
Ushamba huo huo hata mnacholalamikia hamna proof..

Kaa utulie.. punguza gazeti lako halafu nije nilisome tena. Nitagi
What proof do you want? You are already given a proof, a picture.
Looks like I'm talking to a person who don't know and doesn't want to know.

Umewahi kutumia huo usafiri siku za karibuni?

Kila la heri ktk aina ya maisha uliyochagua.
 
Ushamba huo huo hata mnacholalamikia hamna proof..

Kaa utulie.. punguza gazeti lako halafu nije nilisome tena. Nitagi
Sasa ndio nimepata majibu kwanini wafuasi au wanachama wa chama flani wanajumlishwa ktk kundi la "hawajitambui", au "hawana akili" kumbe sio wote wapo kama wewe.

Sikujua kama siasa zinaweza kumfanya mtu awe na kiwango chako cha kufikiri.
 
Tangu lini mswahili akasimamia Biashara ikafanikiwa hasa hizi UMMA ....ukitaka ujue ni watu wa hovyo mpaka Machine zakuSCAN ticket wameua badala yake ukiraka kuingia kituoni Ticket inachanwa kama unaingia
Disko la uswahili
 
Huu Mradi ulizinduliwa na Hawa Ghasia, Kikwete na Magufuli Halafu hahahahahaa
 
What proof do you want? You are already given a proof, a picture.
Looks like I'm talking to a person who don't know and doesn't want to know.

Umewahi kutumia huo usafiri siku za karibuni?

Kila la heri ktk aina ya maisha uliyochagua.

Panda ubanane kama hutaki tembea
 
Sasa ndio nimepata majibu kwanini wafuasi au wanachama wa chama flani wanajumlishwa ktk kundi la "hawajitambui", au "hawana akili" kumbe sio wote wapo kama wewe.

Sikujua kama siasa zinaweza kumfanya mtu awe na kiwango chako cha kufikiri.

Sasa ya chama yamahusikaje hapa na mimi ni mwananchi kama wewe? Umeishiwa ya kuandika unaniletea ya vyama :D:D:D

Yaani jipige tu vibao vya usoni ulie kabisa eeeeeh
 
hivi unajua kupost picha ya mtu bila ridhaa yake ni kosa?

Ngoja wakushtaki
 
Back
Top Bottom