Hali ya usafiri Masasi kwenda Ndanda

Hali ya usafiri Masasi kwenda Ndanda

real toxic

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
533
Reaction score
104
picha.kuonyesha hali ya usafiri kutoka Masasi kuja Ndanda....
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 1406902831969.jpg
    1406902831969.jpg
    75.1 KB · Views: 1,041
  • 1406902874586.jpg
    1406902874586.jpg
    90.4 KB · Views: 1,026
Brother hapo ni mkalapa au chikundi all the way to Germany(ndanda)
 
Nakumbuka kitambo kidogo tulikuwa tukiona muve na picha za kihindi kwanamna hii basi huwa tunawacheka sana na kwa sasa naona na sisi yametufika tena sehemu nyingi sana
 
Iyo barabara nadhani haina askari wa usalama barabarani.

wapo ila tangu vurugu zitokee Masasi sasa ni ruksa...mishkaki mpaka ya kuku ipo kwenye pikipiki and no ELEMENT⌒
 
Nakumbuka kitambo kidogo tulikuwa tukiona muve na picha za kihindi kwanamna hii basi huwa tunawacheka sana na kwa sasa naona na sisi yametufika tena sehemu nyingi sana

ndo hivyo kaka Tanzania bado sanaa
 
mmh! mbona hii njia ina mabasi mengi ya kutoka lindi na mtwara kwenda masasi! hali hii mbaya imeanza lini tena! watu wenye mitaji fursa ndio kama hizi
 
Pamoja na hayo yoote, mbona hatuyasikii yanayotokea Morogoro, Dodoma na Singida ambamo kumejaa trafiki tena wenye vipima mwendo kila barabara?? Kuna jambo hapo. Huenda IGP amebundi namna ya kuiongezea serekali kipato kwa fine za papo kwa papo. Buku 30 si haba kwa dereva asiyefunga mkanda na over peed ya 53 km/h.
Serekali dhalimu huishi kwa udhalimu tuu. Hao vilaza hawawezi kubuni mbinu za kuwavutia wazalendo wawekeze kwenye usafiri, kodi na fine zisizo na kichwa. Nyingi ni miradi ya watu binafsi. Njia ya kuhongwa tuu
 
mmh! mbona hii njia ina mabasi mengi ya kutoka lindi na mtwara kwenda masasi! hali hii mbaya imeanza lini tena! watu wenye mitaji fursa ndio kama hizi

na yapo mengi tuuu ila hali ndo ilikuwa hivyo mkuu
 
Pamoja na hayo yoote, mbona hatuyasikii yanayotokea Morogoro, Dodoma na Singida ambamo kumejaa trafiki tena wenye vipima mwendo kila barabara?? Kuna jambo hapo. Huenda IGP amebundi namna ya kuiongezea serekali kipato kwa fine za papo kwa papo. Buku 30 si haba kwa dereva asiyefunga mkanda na over peed ya 53 km/h.
Serekali dhalimu huishi kwa udhalimu tuu. Hao vilaza hawawezi kubuni mbinu za kuwavutia wazalendo wawekeze kwenye usafiri, kodi na fine zisizo na kichwa. Nyingi ni miradi ya watu binafsi. Njia ya kuhongwa tuu

no comment
 
Maisha bora kwa kila mtanzania ndo hayo
 
huo una afadhali.. barabara ya lami mambo shwari kabisa.... uliza usafiri wa kutoka KARATU MJINI kwenda MANG'OLA (zamani jimbo la dr slaa sasa hivi mch israel natse CHADEMA) gari la kawaida haliwezi kupita huko... gari pekee linalovumilia ni land cruiser... barabara ni mabonde mwanzo mwisho vumbi mpaka kichwani.. ukitoka mang'ola kuja karatu mjini itakulazimu uje na bag la nguo za ziada ambazo utabadilisha vinginevyo utaonekana kama tingo wa magari ya mizigo.
 
Hiyo inaonesha vijana kutokuwa na majukumu wala malengo maishani mwao.
Huwezi kuhatarisha maisha kizembe na kwa kiwango hicho.

2008 nilisikitika kuona vijana wanapanda juu namna hiyo kwenye boat na kuning'iniza miguu nilipokuwa naenda kisiwa cha saa8.

HATARI SANA......
 
Back
Top Bottom