usiongee kwa wasiwasi waja waje wenyewe kusema au na ww ni mmoja wao kwa gia ya mashuhudaa ?Kwa nilichokishudia leo na siku mbili tatu zilizopita ni wazi hii kampuni ina hali mbaya.
Kama juhudi za makusudi hazitafanyika si muda mrefu hakuna gari itaingia njiani . Kampuni inaonekana ni wazi kabisa ina hali ngumu ya kiuchumi. Na kuna dalili ya kimgomo baridi kinaendelea. Nina wasiwasi wafanyakazi hawajalipwa mishahara yao au malimbikizo yao.
huo usafiri hauna uhakika kabisa unaweza kutoka nagari gerezani kwenda kimara mkaishia urafiki gari imebuma usumbufu km huo nani anautaka...Kwa nilichokishudia leo na siku mbili tatu zilizopita ni wazi hii kampuni ina hali mbaya.
Kama juhudi za makusudi hazitafanyika si muda mrefu hakuna gari itaingia njiani . Kampuni inaonekana ni wazi kabisa ina hali ngumu ya kiuchumi. Na kuna dalili ya kimgomo baridi kinaendelea. Nina wasiwasi wafanyakazi hawajalipwa mishahara yao au malimbikizo yao.
Mimi abiria tu lakini kwa kuwa kila siku nautumia usafiri huu mabadiliko nayashuhudia. Kupeleka hizi gari level sit kwa namna yalivyokuwa designed ni hasara kubwa. Mbaya zaidi hata abiria wengi hasa wa vituo vya kati wameshaitema. Sio poa.usiongee kwa wasiwasi waja waje wenyewe kusema au na ww ni mmoja wao kwa gia ya mashuhudaa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo sawa mkuu nawaona hata mm lile tabasamu la kufanya kazi hawana kama mwanzo kila kitu automatic mpaka ticket sa hizi wanaona hata aibuMimi abiria tu lakini kwa kuwa kila siku nautumia usafiri huu mabadiliko nayashuhudia. Kupeleka hizi gari level sit kwa namna yalivyokuwa designed ni hasara kubwa. Mbaya zaidi hata abiria wengi hasa wa vituo vya kati wameshaitema. Sio poa.
Kivipi??Huu mradi umetesa sana wakazi wa kimara
Waulize wakazi wa kimara.. mnaionaje huduma ya mwendokasi..? Watakupa majibu utaelewaKivipi??
Fursa hiyo nimeipata kwako. Ni udadisi tu sisi wa mikoani hiyo mambo hatuna!!Waulize wakazi wa kimara.. mnaionaje huduma ya mwendokasi..? Watakupa majibu utaelewa
Kwa nilichokishudia leo na siku mbili tatu zilizopita ni wazi hii kampuni ina hali mbaya.
Kama juhudi za makusudi hazitafanyika si muda mrefu hakuna gari itaingia njiani. Kampuni inaonekana ni wazi kabisa ina hali ngumu ya kiuchumi. Na kuna dalili ya kimgomo baridi kinaendelea. Nina wasiwasi wafanyakazi hawajalipwa mishahara yao au malimbikizo yao.
Mimi abiria tu lakini kwa kuwa kila siku nautumia usafiri huu mabadiliko nayashuhudia. Kupeleka hizi gari level sit kwa namna yalivyokuwa designed ni hasara kubwa. Mbaya zaidi hata abiria wengi hasa wa vituo vya kati wameshaitema. Sio poa.
Ni aibu kuwa na verified id alafu unakuwa mtupu kiasi hiki.Kwanza haya mabasi yangeitwa MABASI YENYE NJIA MAALUM. Huwezi kuita mwendo kasi wakati speed yake ni 60-80km/h, ilitakiwa kutoka mbezi hadi kariakoo iwe ni dakika 10 tu. Halafu walikuwa wameshajifanya miungu wa dar wanahudumia kwa kujisikia. Naichukia sana hiyo kampuni (haina hadhi ya kuwa wakala wa serikali).