Hali ya Taifa letu: Mwezi mmoja pasipo Hayati Dkt. John Magufuli

Serikali isirudi kukodi kumbi za mahoteli wala kwenda kufanyia semina na vikao vya bodi nje ya nchi kufanya hivyo ni kupoteza pesa za walipa kodi tu. Sherehe, mikutano, vikao na semina za sekta binafsi vinatosha sana kwa wenye hoteli.
 
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?

Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?

Unaionaje nchi bila yeye?
Kasi ya miradi imepungua. Watu wana relax fulani hivi! Ile hemwahemwa na changanyikani katika kazi imepungua.
 
Mwanza kuna mgao wa Umeme wa hatari, yaani imefika hatua ukienda kwa kinyozi inabidi uende na kofia maana haifahamiki TANESCO watakata Umeme muda gani!
Hapa ninapoandika Umeme umekatika tangu saa moja asubuhi!
Kabla ya kifo cha Mzee mbona Ujinga huu ulikuwa hakuna?
Wewe ni mzushi.
 
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?

Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?

Unaionaje nchi bila yeye?
Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!
 
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?

Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?

Unaionaje nchi bila yeye?
Sekta ya Madini nchini haitakiwi iwe au iwekewe Sheria Kali kwa Wadau wake kwani itawakimbiza na hatutopata Faida yoyote kama Serikali na itatuchelewesha kama nchi. Tuongozwe na Busara pamoja na Hekima na siyo Ukali wa Kupitiliza "
 
Hatujui maendeleo mradi wa nyerere,Hatuoni ziara za maendeleo,Hakuna miongozo katika utendaji serikalini,vifurushi vimepanda bei... na mengine mengi
 
Back
Top Bottom