Hali ya Pinda inaendeleaje?

Hivi Jamani na vipi kuhusu hali ya mkono wa katibu wetu mkuu?? naona bado umejikunja, mwenye habari atujuze hali ya kamanda wetu
 
Hv anaumwaga huyo Pinda? Ama anatalii tu.Cjawahi kusikiaga ya kwmb anaumwa kazi ipo kweli kweli.
 
walio na uwezo ni wagonjwa, je wasionauwezo wana hali gani?
Na je alilazwa Amana au MUhimbili?
 
Pinda Chongo wa watanganyika,mana haoni mbele wala nyumba yeye ni kupopoa tu kauli zake mbovu,kifuu,,mwache aende zake tumemchoka huyu nae,mtoeni gamba.
 
anaumwa nini?

Sina uhakika anaumwa nini lakini kwa mwonekano wa afya na sura yake yawezekana ameshatembelewa na kale ka-ugonjwa!
Kwenye kumbukumbu zangu yeye ni mojawapo ya Mawaziri wa Kiwete waliofika kwa Babu ili kupata KIKOMBE. Sasa simwelewi huyu PM wetu kumsikia tena ameibukia kwa Malkia eti kupima afya!

Pengine alienda kuhakikisha kama kwa sasa yuko fit baada ya Loliondo trip!
Bila shaka na vigogo wengine watafuata kweda majuu ku-check afya zao baada ya Kikombe cha Babuu wa Loliondo.
 
nashukuru wajumbe kwa habari zenu ...kwani sikuwa na taharifa zake toka alipoenda German kwa matibabu
pia namtakia afya njema kipindi cha utawala wake kwani ni kigumu na kina harakati nyingi sana
Mwambie aache kuongopa bungeni na kwa wananchi.. anajua alitendalo ajue Ataadhibiwa hapa hapa Duniani. yupo kwa ajili ya wananchi sio wajinga waliompa ripoti ya mauaji Arusha shame zao
 
Haya bwana, mnajua wenyewe; kwa vyovyote vile kama anaumwa ni kama wanadamu wengine anastahili kupewa pole na wala hatupaswi kuponda; cha msingi ni kuwa makini naye asije akawa anatumia pesa za wananchi kwa mambo yasiyo na msingi.
 
Shock-absorber ya ccm inaumwa kumbe?!, ni hatari sana kwa wasafiri kufika salama, barabara ni mbaya sana aisee! Get wel msee
 
Back
Top Bottom