Hali ya Pinda inaendeleaje?

Mwambie aache kuongopa bungeni na kwa wananchi.. anajua alitendalo ajue Ataadhibiwa hapa hapa Duniani. yupo kwa ajili ya wananchi sio wajinga waliompa ripoti ya mauaji Arusha shame zao
lakini tatizo ni la jeshi letu la polisi walimpa taharifa zisizo sahihi za kientelligencia
 
Humundani kuna kila aina ya burudani. Kufa kunatokea wapi? Hivi hata akifa habari zitatoka sumbawanga? kazi kweli kweli!
 
niliyonayo kuhusu kuhusu hawa jamaa watibiwa nje,nikiyamwaga hapa jamvin nitawakatisha tamaa,ngoja niuchune.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom