Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,970 Reaction score 30,138 Oct 8, 2011 #1 Jamani kuna yeyote mwenye taarifa za hali ya kiafya ya huyu mheshmiwa?? Kuna taarifa nazisikia hapa si njema!! Nataka kuzihakikisha
Jamani kuna yeyote mwenye taarifa za hali ya kiafya ya huyu mheshmiwa?? Kuna taarifa nazisikia hapa si njema!! Nataka kuzihakikisha
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Oct 8, 2011 #2 Umesikia zipi? Mie nimeona humu eti kafariki!
DE NOVO Member Joined Aug 30, 2011 Posts 34 Reaction score 7 Oct 8, 2011 #4 Mbona tumewaandama sana hawa makamanda wa MBeya... ni hii hamu ya jamaa yetu wa kusini kuwa presidaa au?
Mbona tumewaandama sana hawa makamanda wa MBeya... ni hii hamu ya jamaa yetu wa kusini kuwa presidaa au?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,121 Reaction score 165,984 Oct 8, 2011 #5 Wanyakyusa wameikosea nini hii govt? Kuna mwingine nasikia kavimba mwili mzima, eti wamemlisha sumu.
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Oct 8, 2011 #6 Mhhhhhhhhhhhhhhh! aisee hii ya kufariki mbona noma sana. Mpaka hapo kama ni kweli jamaa amefariki, basi hii ni vita ya magamba na wanyakyusa
Mhhhhhhhhhhhhhhh! aisee hii ya kufariki mbona noma sana. Mpaka hapo kama ni kweli jamaa amefariki, basi hii ni vita ya magamba na wanyakyusa
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Oct 8, 2011 #7 Wakuu uzushi wa Mwandosya kufariki si wa kweli, jamaa anaongea live from India this minute kupitia Radio One akijibu hizo tuhuma za kifo. Yuko hai wakuu
Wakuu uzushi wa Mwandosya kufariki si wa kweli, jamaa anaongea live from India this minute kupitia Radio One akijibu hizo tuhuma za kifo. Yuko hai wakuu
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,441 Oct 8, 2011 #8 chadema tujiandae kazi inakuja,,safari hii wataona!
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,261 Oct 8, 2011 #9 mwandosya anaongea itv na anasema ana afya njema tofauti na awali. Kuna kitu nimegundua toka katika sauti yake. Ni sauti ya Nape typical!
mwandosya anaongea itv na anasema ana afya njema tofauti na awali. Kuna kitu nimegundua toka katika sauti yake. Ni sauti ya Nape typical!
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Oct 8, 2011 #10 Yupo salama, na anahojiwa ITV kwa njia ya simu kutoka hospitalini.