Hali ya mazao ya nafaka si nzuri.

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,456
Kwakweli hili swala la mvua za mwaka huu kama serikali haitalipa uzito wa juu,jamani mwaka huu sijui kama watu watamudu kula hata mara moja kwa siku mbili.

Naomba kiongozi yoyote wa serikali Apande gari kuanzia Dodoma-mtera-iringa-mafinga-nyororo-makambako-Rujewa-mbeya-tunduma-Rukwa-katavi-kigoma-tabora-singida-dodoma.

Kisha apande gari tena...

Mbeya-njombe-madaba-songea-namtumbo-tunduru-nakapanya-masasi-mtwara-lindi-pwani-Dsm-morogoro-dodoma.

(Hii mizunguko imepita mikoa ambayo ndo inazalisha chakula kingi nchi hii)

Huyo kiongozi kama kweli anatakua yuko makini kuangalia mwenendo wa mashamba ya mahindi ya mwaka huu hakika lazima atakubaliana na wananchi kua ni bora kutangaza hali ya tahadhari kuhusu njaa mwaka huu.
 
Back
Top Bottom