everybody JF-Expert Member Oct 30, 2010 337 103 Feb 11, 2012 #1 Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, matumizi yetu yametuzidi, tunataka nyongeza za mishahara na posho za kukaaaaaaa! Attachments matumizi.jpg 8.8 KB · Views: 234
Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, matumizi yetu yametuzidi, tunataka nyongeza za mishahara na posho za kukaaaaaaa!
M mhondo JF-Expert Member Apr 23, 2011 968 342 Feb 11, 2012 #2 Umesahau na school fees na gharama za umeme.
Dr.Chichi JF-Expert Member Apr 30, 2008 2,394 631 Feb 11, 2012 #3 he he he mbona fungu la bia na totoz makubwa sana kuliko la basic needs?
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Feb 13, 2012 #4 Nahdani itakuwa ndo bajeti za vijana wa leo, cjui kama tutafika kwa hali kama hii