Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,023
- 2,656
Kwani mbona husemi kwenu mwanza kimpumu kuwa imepanda hasa mitaa ya kule Kishiri, Buhongwa, na nyamadokeHata bei ya mbege na ulanzi imepanda pia!
Mimi niko Kihesa jirani kabisa na kanisa la kaka yake mbunge Msigwa!Kwani mbona husemi kwenu mwanza kimpumu kuwa imepanda hasa mitaa ya kule Kishiri, Buhongwa, na nyamadoke
In God we Trust
Huku ni nyama tu lkn vitu vingine viko juu.Bei ya vifaa vya ujenzi kigoma ni hatari na kipato kimeshuka wafanyabishara wanafunzi biashara ila sijajua wanaenda kulima au la.Hata bei ya mbege na ulanzi imepanda pia!
Kwahiyo kipindi kile ulikuwa upo ugenini?Mimi niko Kihesa jirani kabisa na kanisa la kaka yake mbunge Msigwa!
Nilikuwa kikazi bwashee!Kwahiyo kipindi kile ulikuwa upo ugenini?
In God we Trust
Unakumbuka tulivyo kuwa tunafanya yetu pale mtaa wa lwagasole? Mi nilidhani kwenu ni huku huku maana hata rafudhi yako ilikuwa kama mwenzetuN
Nilikuwa kikazi bwashee!
Mimi niko Kihesa jirani kabisa na kanisa la kaka yake mbunge Msigwa!
UsipimeNi hatari sana ndugu yangu
Pesa zinazotakiwa kutumiwa kutosheleza matumizi ya kawaida ya kila siku inazidi pesa unayoipata kwa mwezi
Hapo kaya/familia zinaishi katika negative wealth accumulation.
Maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku