City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,766
- 8,250
Yaani ndom ziliadimikaga, zikapanda bei halafu ziliporejea bei haikushuka tena!condom kutoka 400..mpaka 1000-1500
I moved your cheese!
Yaani ndom ziliadimikaga, zikapanda bei halafu ziliporejea bei haikushuka tena!condom kutoka 400..mpaka 1000-1500
Yaani ndom ziliadimikaga, zikapanda bei halafu ziliporejea bei haikushuka tena!
I moved your cheese!
Mwanza kuna mapuya na kangala. Kama kuna kimpumu wateja ni wachache.Kwani mbona husemi kwenu mwanza kimpumu kuwa imepanda hasa mitaa ya kule Kishiri, Buhongwa, na nyamadoke
In God we Trust
Mwanza kuna mapuya na kangala. Kama kuna kimpumu wateja ni wachache.
Sababu hasa ni ipi mkuu?Huku kwetu kuna baadhi ya familia zimebadili life style badala ya kula milo 3 daily sasa wanapata milo 2. Los técnicos,
In God we Trust
Kwetu wanakula mlo mmoja wenyewe wanaita pasi ndefuHuku kwetu kuna baadhi ya familia zimebadili life style badala ya kula milo 3 daily sasa wanapata milo 2. Los técnicos,
In God we Trust
Shukrani sana mkuu, takwimu zako zinaonesha kuna mfumuko wa bei wa kama 50% maha ulipo!Viazi mviringo gunia kutoka 45000 mpaka 80000, mafuta Lita 20 kutoka 46000 mpaka 59000
Mkaa gunia kutoka 25000 mpaka 40000
Nyanya kisado kutoka 4500 mpaka 12000
Vitunguu kitochi kutoka 1000 mpaka 6000, pilipil kutkisado kutoka 3000 mpaka 7000 gano kilo 25 kutoka 22000 had I 29000
N.k hayo ndo maisha halisi bado ramadhani haijaja.
Tiba ni uzalishaji, wewe hutaki kuzalisha, utavunaje???Ni hatari sana ndugu yangu
Pesa zinazotakiwa kutumiwa kutosheleza matumizi ya kawaida ya kila siku inazidi pesa unayoipata kwa mwezi
Hapo kaya/familia zinaishi katika negative wealth accumulation.
Maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku
2,206tshs
Kuna factors nyingi za uchumi zinazotegemeana, kwa mfano kama ukizalisha ukavuna lakini sera za kodi ni harsh, purchasing power ya watu kama imepungua sana, Au bei ya mbolea na vipiru haishikiki, masharti ya mikopo benki ni mazito sana huko kuzalisha kunaweza kukutia hasaraTiba ni uzalishaji, wewe hutaki kuzalisha, utavunaje???
Huku nilipo watu wanajenga mahekalu ya kutisha kila kukicha. Utafikiri wanafyatua hela zao binafsiKatika wiki kadhaa zilizopita tumeshuhudia bei za baadhi ya bidhaa kama nyanya na gesi kupanda.
Ongezeko hili bila shaka linagusa vipato vyetu vya kila siku. Lengo la uzi huu ni kujua kama kuna bidhaa nyingine zilizopanda bei na kama zimepanda ni kwa kiasi gani?
Hii inaweza pia ikatutengenezea fursa za kibiashara kwa wajasiliamali lakini pia kujua kiasi gani viongozi wetu wamefanikiwa kuboresha maisha ya watanzania kwa kubalance uchumi.
Lakini pia kubaini vyanzo vya ongezeko hilo ni nini hasa?
Naomba tudondoshe hapa aina ya bidhaa yoyote iliyopanda na bei yake? Na mwenye kujua sababu atanabaishe.
Tukianza na Mahindi, Unga, Gesi, Nyanya, sukari n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Point moja ya msingi uliongelea ni hapo kwenye kutoa mikopo.Kuna factors nyingi za uchumi zinazotegemeana, kwa mfano kama ukizalisha ukavuna lakini sera za kodi ni harsh, purchasing power ya watu kama imepungua sana, Au bei ya mbolea na vipiru haishikiki, masharti ya mikopo benki ni mazito sana huko kuzalisha kunaweza kukutia hasara
Tunapolaumu hali ya maisha kuwa ni ngumu tunamaanisha chain nzima ya uchumi haiperform vizuri.
Mifano mizuri ipo, wale waliolima mbaazi mwaka juzi na waliolima korosho mwaka juzi athari za maamuzi mabovu ya serikali wakati huo tunaanza kuyaona leo!
Sababu zipi hasa wanatoa juu ya kupanda kwa gesi?Juzi tu naenda jaza gas naambiwa imepandaacha tu.
Kuna factors nyingi za uchumi zinazotegemeana, kwa mfano kama ukizalisha ukavuna lakini sera za kodi ni harsh, purchasing power ya watu kama imepungua sana, Au bei ya mbolea na vipiru haishikiki, masharti ya mikopo benki ni mazito sana huko kuzalisha kunaweza kukutia hasara
Tunapolaumu hali ya maisha kuwa ni ngumu tunamaanisha chain nzima ya uchumi haiperform vizuri.
Mifano mizuri ipo, wale waliolima mbaazi mwaka juzi na waliolima korosho mwaka juzi athari za maamuzi mabovu ya serikali wakati huo tunaanza kuyaona leo!