Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,015
- 2,645
Katika wiki kadhaa zilizopita tumeshuhudia bei za baadhi ya bidhaa kama nyanya na gesi kupanda.
Ongezeko hili bila shaka linagusa vipato vyetu vya kila siku. Lengo la uzi huu ni kujua kama kuna bidhaa nyingine zilizopanda bei na kama zimepanda ni kwa kiasi gani?
Hii inaweza pia ikatutengenezea fursa za kibiashara kwa wajasiliamali lakini pia kujua kiasi gani viongozi wetu wamefanikiwa kuboresha maisha ya watanzania kwa kubalance uchumi.
Lakini pia kubaini vyanzo vya ongezeko hilo ni nini hasa?
Naomba tudondoshe hapa aina ya bidhaa yoyote iliyopanda na bei yake? Na mwenye kujua sababu atanabaishe.
Tukianza na Mahindi, Unga, Gesi, Nyanya, sukari n.k
Sent using Jamii Forums mobile app