Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,625 112,706 Jun 10, 2017 #21 kampelewele said: Mpwa wangu= kijacho . Je yupo anadunda au bado tunamsubiri kwa hamu? Click to expand... Nani kakuambia mi mama kijacho? Mi bado nalea....hadi uchaguzi mkuu ndo nitapata mtoto mwingine nikijaaliwa uzima
kampelewele said: Mpwa wangu= kijacho . Je yupo anadunda au bado tunamsubiri kwa hamu? Click to expand... Nani kakuambia mi mama kijacho? Mi bado nalea....hadi uchaguzi mkuu ndo nitapata mtoto mwingine nikijaaliwa uzima
kampelewele JF-Expert Member Oct 13, 2014 2,919 2,256 Jun 10, 2017 #22 Evelyn Salt said: Nani kakuambia mi mama kijacho? Mi bado nalea....hadi uchaguzi mkuu ndo nitapata mtoto mwingine nikijaaliwa uzima Click to expand... Hongera sana kwa kupata mdogo wangu nitatuma maziwa s26 kama zawadi ya kulea. Msalimie kuwa kaka yake anammiss sana
Evelyn Salt said: Nani kakuambia mi mama kijacho? Mi bado nalea....hadi uchaguzi mkuu ndo nitapata mtoto mwingine nikijaaliwa uzima Click to expand... Hongera sana kwa kupata mdogo wangu nitatuma maziwa s26 kama zawadi ya kulea. Msalimie kuwa kaka yake anammiss sana
T torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,475 7,835 Jun 10, 2017 Thread starter #23 Galapagosi said: Ngoja tuwasubiri pamoja Click to expand... na wewe bachelor mkuu!
T torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,475 7,835 Jun 10, 2017 Thread starter #24 BigBaba said: Mi kwangu hali mbaya kila kukicha Click to expand... kama hali mbaya unalazimisha nini sasa! isitoshe una jina la heshima,.. BigBaba
BigBaba said: Mi kwangu hali mbaya kila kukicha Click to expand... kama hali mbaya unalazimisha nini sasa! isitoshe una jina la heshima,.. BigBaba
T torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,475 7,835 Jun 10, 2017 Thread starter #25 Thad said: Huo sasa umbea....hali ya mahusiano yetu wewe waitakia nini? Click to expand... akijaaribika kitu mkuu, wewe pita kimya kimya kuuepuka huu umbea
Thad said: Huo sasa umbea....hali ya mahusiano yetu wewe waitakia nini? Click to expand... akijaaribika kitu mkuu, wewe pita kimya kimya kuuepuka huu umbea
T torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,475 7,835 Jun 10, 2017 Thread starter #27 Red Giant said: mi mwenyewe bachela. ngoja tusubiri mabachela wa kike tuyajenge. Click to expand... haha! wewe sio bachela... wewe ni simba mwenye njaa kali anayetafuta swala.
Red Giant said: mi mwenyewe bachela. ngoja tusubiri mabachela wa kike tuyajenge. Click to expand... haha! wewe sio bachela... wewe ni simba mwenye njaa kali anayetafuta swala.
T torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,475 7,835 Jun 10, 2017 Thread starter #28 Nanoli said: Mnaweza mkawa mnazinguana kila kukicha, mkaja kuyazoea na kuchukuliana...haina mbaya! Mkipata muda wa kujadili ya msingi na kutekeleza na kwa mda mnawekana sawa... Maisha yanaenda kiubabeubabe.. Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua Click to expand... umependa kweli Nanoli naamini na uliyenae ana kupenda kweli, kutibuana kwenye mapenzi ni ishara ya upendo wa kweli,
Nanoli said: Mnaweza mkawa mnazinguana kila kukicha, mkaja kuyazoea na kuchukuliana...haina mbaya! Mkipata muda wa kujadili ya msingi na kutekeleza na kwa mda mnawekana sawa... Maisha yanaenda kiubabeubabe.. Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua Click to expand... umependa kweli Nanoli naamini na uliyenae ana kupenda kweli, kutibuana kwenye mapenzi ni ishara ya upendo wa kweli,
T torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,475 7,835 Jun 10, 2017 Thread starter #29 Mshuza2 said: Sasa Mkuu utamu wa ngoma si uingie ucheze..kumbe uko bachelor halafu unataka kujua ya walio kwenye mahusiano..au unapiga ndondo Mkuu? Click to expand... haha! nasoma hii ramani ya kivita kwanza... kuingia kichwa kichwa nitakula la uso,
Mshuza2 said: Sasa Mkuu utamu wa ngoma si uingie ucheze..kumbe uko bachelor halafu unataka kujua ya walio kwenye mahusiano..au unapiga ndondo Mkuu? Click to expand... haha! nasoma hii ramani ya kivita kwanza... kuingia kichwa kichwa nitakula la uso,