Hali ya mahusiano yako ipo vipi huko?

Nani kakuambia mi mama kijacho? Mi bado nalea....hadi uchaguzi mkuu ndo nitapata mtoto mwingine nikijaaliwa uzima
Hongera sana kwa kupata mdogo wangu nitatuma maziwa s26 kama zawadi ya kulea. Msalimie kuwa kaka yake anammiss sana
 
Mnaweza mkawa mnazinguana kila kukicha, mkaja kuyazoea na kuchukuliana...haina mbaya! Mkipata muda wa kujadili ya msingi na kutekeleza na kwa mda mnawekana sawa... Maisha yanaenda kiubabeubabe.. Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
umependa kweli Nanoli naamini na uliyenae ana kupenda kweli,
kutibuana kwenye mapenzi ni ishara ya upendo wa kweli,
 
Sasa Mkuu utamu wa ngoma si uingie ucheze..kumbe uko bachelor halafu unataka kujua ya walio kwenye mahusiano..au unapiga ndondo Mkuu?
haha! nasoma hii ramani ya kivita kwanza... kuingia kichwa kichwa nitakula la uso,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom