Sio stroke ni alipata ajali ya kugongwa na gari hvyo kumpelekea kupata tatizo la uti wa mgongo , akapooza kuanZia juu hadi chini , hvyo hawez tumia mikono, miguu na hisia pia hana kuanzia maeneo ya juu hadi chini
So HASIKII NJAA KABISA, WALA HAJA?Tetraplegia, also known as quadriplegia, is paralysis caused by illness or injury that results in the partial or total loss of use of all four limbs and torso; paraplegia is similar but does not affect the arms. The loss is usually sensory and motor, which means that both sensation and control are lost.
Inaonekana hilo ndo tatizo linalomsumbua unfortunately halitibiki.
Sio stroke ni alipata ajali ya kugongwa na gari hvyo kumpelekea kupata tatizo la uti wa mgongo , akapooza kuanZia juu hadi chini , hvyo hawez tumia mikono, miguu na hisia pia hana kuanzia maeneo ya juu hadi chini
Maana yake anajihisi ana kichwa tu.So HASIKII NJAA KABISA, WALA HAJA?
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hadi machozi yananitoka duniani kuna mitihani sana, mwenyezi mungu amfanyie wepesi, tumshukuru mungu kwa kila jambo
Mkuu naona unajizunguusha, si ungeuliza tu direct kwamba Anahisi hisia za mapenzi au Lah???So HASIKII NJAA KABISA, WALA HAJA?
Nadhanj hilo nalo alihitaji kuuliza.Mkuu naona unajizunguusha, si ungeuliza tu direct kwamba Anahisi hisia za mapenzi au Lah???
Unapiga KONA nyingi kama mafikizolo bhana...
Ivi hisia zinatokea Ubongoni au kwenye private part??? Wakonta hebu ukuje hapaaNadhanj hilo nalo alihitaji kuuliza.
Lakini sasa, hata akisikia, ataezaje kufanya.?!
Nadhanj hilo nalo alihitaji kuuliza.
Lakini sasa, hata akisikia, ataezaje kufanya.?!
Naona kwa makusudi kabisa mnahamishia mada kwenye vitu vingine kabisa.Ivi hisia zinatokea Ubongoni au kwenye private part??? Wakonta hebu ukuje hapaa
Yeye ni binadamu kama sisi, kitendo cha kuanza kumuona yuko tofauti ndio unyanyapaa wenyewe, sisi tumemkubali the way alivyo,,,, no need to pleaseNaona kwa makusudi kabisa mnahamishia mada kwenye vitu vingine kabisa.
Muacheni dada wa watu bana.