shiteterande
Member
- May 31, 2013
- 15
- 3
khali ya kamanda Nasari nasikia si nzuri, nimepata taarifa amepelekwa ICU je ni kweli, wenye taarifa kamili watujuze jamani!!!!!!
Demonic Prayer!Asafirishwe kwenda India
Hilo si jukumu la makamanda tena!! Yupo hospital, is it? Sasa what does makamanda has to do with the medical issues? Tumwombee apone,kisha apone haraka.Makamanda inabidi wafanye kazi ya ziada kuokoa maisha ya Nassari
Wewe hodari umefanya nini cha maana?zaidi ya kula,kunya,na kulala,familia yako mwenyewe ikipiga kura ya kumchagua kiongozi wa familia yule mtoto wako wa miaka tisa anashinda kwa kura nyingi, koroboi wewe.Kamanda gani mzembe hivi
Mungu amponye mapema. Huu uonevu unatisha kweli!
Kamanda gani mzembe hivi
watanzania tuamke jamani
Nassari amepigwa na nani? au alikuwepo kwenye mlipuko?
Mbona sielewi?
Nassari amepigwa na nani? au alikuwepo kwenye mlipuko?
Mbona sielewi?