Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,707
Reaction score
16,422
Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba.

Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa.

Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa.
Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi.

Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi mengi, hivyo nikakitoa miezi mitatu iliyopita.

Miongoni mwa maudhi hayo ilikuwa kupotea kabisa kwa hamu ya mambo ya ndoa. Baada ya kukitoa, mwezi wa kwanza sikuona mabadiliko yoyote.

Lakini mwezi wa pili… mambo yakaanza kubadilika ghafla.
Wakati wa ovulation nilijikuta napata hisia kali sana.

Hadi nikajikuta nashindwa kuelewa kinachoendelea hamu imekuwa kali mno. Leo ndiyo nimekaa na kutafakari vizuri ndipo nikagundua kuwa chanzo kinawezekana ni mabadiliko ya homoni baada ya kutoa kipandikizi.

Aisee ndugu zangu, mpaka nimeongea na Mungu leo… sijui nifanye nini. Najisikia vibaya sana, kwa sababu nilishafunga kabisa mlango wa mambo ya watu wazima kwa kifupi nimekuwa nikiishi bila kufanya tendo la ndoa.

Baba wa watoto tumeachana kimkoa kutokana na kazi, ingawa tunalea watoto pamoja. Kwa hiyo muda mwingi niko “dry sell” tu.

Sihitaji kutenda dhambi, lakini majaribu yamekuwa makubwa kweli.

Naomba ushauri wenu.

Ninategemea kuanza mazoezi ya gym mapema mwakani, ili niachwe nikiwa nimechoka na kutofikiria mambo hayo.
Lakini kwa sasa nikiwa nimeshughulika sana mchana, nikilala au kupumzika kidogo tu hisia zinaongezeka.

Hali hii sikuwa nayo kabla ya kipandikizi, hivyo nahisi bado homoni hazijajibuana vizuri.

Naombeni ushauri jamani, maana hali inanipa hofu na kunitia wasiwasi.
 
Yanini uteseke bibie! Sema nikupe location uje unibake mimi mtu mzima machachali damu inachemka na nina upwilu wakuzidi!

Kutamani kubakabaka unaweza ukaangukia kwa kibamia ukaishia kupakazwa shombo na hamu zisikuishe...!

Come baby come wallah uta cum tena vyakutosha.
 
Njoo unibake mimi.

Mazoezin huko utaliwa tu na trainer...aahh eti utaliwa ni utamla kimasihara.
Mi wale jamaa hawanivutiagi kabisa
Nina vitu vyangu tu vinavyonivutia

Sio kila mara unapata hizo hisia only 2 or 3 days in a month
Hiyo ndo ovulation
Sio kama wanaume mda wote kama kanywa mdindadinda(unaijua hii dawa?
 
Back
Top Bottom