Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

😹😹 Na dar kuna baridi lile ambalo Mbeya ndo kipindi cha joto..!!

Pole sasa unalala na jiko au umevaa mzula, koti na soksi 🤣
Ila watu wa Dar😂😂😂
Ninavyofika Dar nilishangaa sana kuona watu wanaoga maji ya moto wakati mimi hata chai nilikuwa nashindwa kunywa.

Ila nilivyozoea na mimi nikaanza kunywa chai.
Ila mwezi March Dar ni kiboko 🙌🏿nilikuwa nalala chini, siyo kwa lile joto.
Umeme ukikatika uwii 💔
 
Wasalimie soweto hapo, chumba kikubwa kizuri tsh 20k nilishangaa sana ama kweli mbeya pazuri
 
😹😹 Na dar kuna baridi lile ambalo Mbeya ndo kipindi cha joto..!!

Pole sasa unalala na jiko au umevaa mzula, koti na soksi 🤣
Koti sijavaa wala mzula, siwezi kuvaa makoti nikiwa nyumbani labda nikitoka
ila kamoto ndio nashindia😂kila siku lazima niote

Leo bora sijatoka kwenda popote
Baridi ya leo ingeniyosha huko nje
 
Attachments

  • IMG-20250707-WA0010.jpg
    341.2 KB · Views: 12
Kila sehemu kuna changamoto zake wew kaza huko tu
 
Koti sijavaa wala mzula, siwezi kuvaa makoti nikiwa nyumbani labda nikitoka
ila kamoto ndio nashindia😂kila siku lazima niote

Leo bora sijatoka kwenda popote
Baridi ya leo ingeniyosha huko nje
Hapo ukisogea kidogo mwenyewe unarudi tena jikoni..!! 😹😹
 
N Ndio maana wakiendaga DSM hawarudi kwao, Dar pazuri unajiachia muda wote
 
Mimi bila maji ya moto sitoboi, kuna siku nilijitia uchizi nikaoga ya baridi acha nipige kelele 😹😹😹

Nikija Mbeya napiga passport size, kuoga siku ya kuondoka.. 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…