Hali ya hewa Mwanza-Dar leo saa sita mchana

Hali ya hewa Mwanza-Dar leo saa sita mchana

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Jaman leo hali ya hewa ilikua mbaya acheni! Nimesafiri Mwanza-Dar na fast jet ndo tumetua.

Tumeshake balaa kama nusu saa hivi jamani yani watu wote ungewaona acha..

Lakin namshukuru Mungu tumetua salama ila cha moto tumekipata leo. Sitasahau.
 
Pole sana mamangu, msalimie sana wajina wangu Dunia.
Mshukuru Mungu umetua salama salimini, ina maana mmetumia dakika muda gani mpaka kufika mwanza?
 
Kulikuwa na mvua na radi kali sana hasa mikoa ya kanda ya ziwa hasa Musoma naona hapa kwenye kituo cha hali ya hewa Duniani kwani huko hawakuwataarifu.
 
Hizo bums zilikuwa anga ya Mwanza au wakati mnakaribia Dar?
Kuna rafiki yangu hizo bums huwa zinataka kumtoa roho...........ikianza roho mkononi
 
Kulikuwa na mvua na radi kali sana hasa mikoa ya kanda ya ziwa hasa Musoma naona hapa kwenye kituo cha hali ya hewa Duniani kwani huko hawakuwataarifu.

Tz ni zaid ya uijuavo..hata hawajasema..naskia sasa mvua inanyesha mwanza..yani hali ilikua mbaya na tulishakata tamaa..mama mmoja kasali sana wengine tulishajikatia tamaa yani
 
Unasafiri saturday badala uwe kanisani?hujui leo sabatho?mnajitakia balaa tu
 
Jaman leo hali ya hewa ilikua mbaya. acheni!nimesafiri mza-dar na fast jet ndo tumetua jaman tumeshake balaa kama nusu saa hivi jamani yani watu wote ungewaona acha..lakin namshukuru Mungu tumetua salama ila cha moto tumekipata leo.sitasahau.

Hahahaha pole mkuu ishawahi nikuta hata mimi hiyo tena route hiyo hiyo yaani hali ilikuwa mbaya utadhani ndege inapita kwenye mabonde ukiangalia nje full ukungu huoni kitu. Yaani safari ya saa moja niliona kama masaa sita.
 
Jaman leo hali ya hewa ilikua mbaya. acheni!nimesafiri mza-dar na fast jet ndo tumetua jaman tumeshake balaa kama nusu saa hivi jamani yani watu wote ungewaona acha..lakin namshukuru Mungu tumetua salama ila cha moto tumekipata leo.sitasahau.

asante kwa kutujulisha umepanda ndege. siku nyingine jaribu sabena
 
Back
Top Bottom