Hali ya hewa Dar?


Bado saa moja. Vumilia kdg
 
haaaa dar dar

sisi wengine hatujui hyo dar yako na huku kuna baridi sku zote na tunafanya kazi

poleni watu wa dar kwa mafuriko na foleni

Poleni kwa baridi. Baridi inatoa mazingira bora sana kwa kufanya kazi ngumu kwa muda mrefu! Kwa dar es salaam hali hii ni adimu sana. Hatujaona jua tangu asbh Leo hii. Mada ni kuwa posti za jamvini leo zitakuaje? Asante kushiriki!
 
Yote kwa mpigo
 

Attachments

  • 1397218570366.jpg
    16.7 KB · Views: 71
  • 1397218633788.jpg
    65.7 KB · Views: 57
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…