Hali ya Hewa Dar yabadirika ghafla,wapi TMA?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638
Tupeni update TMA kupitia radio na tv.

Miungurumo,upepo na wingu la kufa mtu.

Nawasilisha
 
Last time tmj haikuonya uwepo wa mvua kubwa then zilipoanza kunyesha tam wakaja na tabiri kuwa ijumaa na jumamosi ya kipindi kile cha maafa zingenyesha mvua za kujutia ila hamna hata tone lilinyesha siku hizo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Last time tmj haikuonya uwepo wa mvua kubwa then zilipoanza kunyesha tam wakaja na tabiri kuwa ijumaa na jumamosi ya kipindi kile cha maafa zingenyesha mvua za kujutia ila hamna hata tone lilinyesha siku hizo.

Ndio tunataka watupe taarifa je mvua itanyesha lini wasisubirie mpaka ianze ndio waseme tunataka watoe taarifa leo kwenye vyombo vya habari.
 
yaani mbona hata hawana haja ya kutupa updates yaani hapa ni kujimwaga majiani kwenda gesti sinza basi...
 
Tupeni update TMA kupitia radio na tv.

Miungurumo,upepo na wingu la kufa mtu.

Nawasilisha
Nimesikia pia Arusha imepitiwa na kimbunga kikubwa sana leo hii. Mtwara pia hali inaonyesha ndani ya siku mbili au zaidi kidogo tunaweza kupata mvua kubwa sana. Kwa maana hii ni vizuri kwa wakazi wa mabondeni Dar kuchukua tahadhari pia.
 
Kabisa naona mvua za masika ndio zinataka kuanza sasa!
 
Last time tmj haikuonya uwepo wa mvua kubwa then zilipoanza kunyesha tam wakaja na tabiri kuwa ijumaa na jumamosi ya kipindi kile cha maafa zingenyesha mvua za kujutia ila hamna hata tone lilinyesha siku hizo.

Inaitwa TMA Marytina...
Kweli walikosea..na mimi niliamua nisitoke kwenda popote,tena walisema ingekuwa mbaya zaidi,sasa sijui lengo lilikuwa nini kutudanganya vile..

Au nami nisiwaamini!
 
Last time tmj haikuonya uwepo wa mvua kubwa then zilipoanza kunyesha tam wakaja na tabiri kuwa ijumaa na jumamosi ya kipindi kile cha maafa zingenyesha mvua za kujutia ila hamna hata tone lilinyesha siku hizo.

Hawa Mamlaka ya Usimamizi wa Hali ya Hewa inaonesha ni WATABIRI kama wale watabiri waliowahi kuvuma hapa Tz! Ukiwasikiliza (katika style yao ya utoaji na uhakika wa habari zao) utatakiwa utembee na mwavuli kila siku kama Masaai machungoni! Mara chache sana wametoa ikawa sahihi!
 
Bora at inyeshe tu tupate maji wakazi wa kimara sijui tumewakosea nini dawasko inaenda wik ya 2 sasa hakuna maji
Nimesikia pia Arusha imepitiwa na kimbunga kikubwa sana leo hii. Mtwara pia hali inaonyesha ndani ya siku mbili au zaidi kidogo tunaweza kupata mvua kubwa sana. Kwa maana hii ni vizuri kwa wakazi wa mabondeni Dar kuchukua tahadhari pia.
 
Ndio tunataka watupe taarifa je mvua itanyesha lini wasisubirie mpaka ianze ndio waseme tunataka watoe taarifa leo kwenye vyombo vya habari.

Ndugu yangu, hata hao TMA wakitoa utabiri mzuri au mbaya watanzania huwa tunausikiliza? Utakuta mmekaa mahali mnaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku, mara mtangaji anaanza "ufuatao ni utabiri ..., " ... Utasikia wengine wanasema toa hapo, weka "mziki" hayo ndiyo mazoea ya tuliyowengi mitaani. Labda kama tutabadilika basi huo utabili wa TMA unaweza kuheshimika na kuzingatiwa!!!
 
Back
Top Bottom