Hali ya Hatari Tandika!!

Hali ya Hatari Tandika!!

Hili la Yombo si limetolewa ufafanuzi na MATOLA kwenye thread nyingine kuwa jaribio limekwama au wamekwenda kulikamilisha tena jaribio lao mchana huu?
 
Tuitunze Amani..! Wengine Wanaiota! Wanatamani sana!
 
Hawa ndugu hawaoni wanajidhalilisha? wanatudhihirishia kuwa dini yao ni ya machafuko.Huyo mgalatia amekamatwa na hatua za kisheria zinachukuliwa, sasa wao wamataka nini tena? au wanalipwa kuleta machafuko? maana wengi wafanyao hizi vurugu hawana mbele wala nyuma, hawana kazi yoyote. wenye elimu zao huwaoni wao wala watoto wao kwenye hizo vurugu.
 
Inadhihirisha jinsi thamani ya mgalatia mmoja ilivyo kubwa
 
wenzetu hawa wanaipeleka nchi pabaya.Hivi serikali yetu inayaona hayo? Au kuleana ndiyo mdundo?
 
Hakuna cha kukojolea msaafu,Bagamoyo na Zanzibar mbona walichoma siku nyingi? Au ilishawahi kukojolewa na huko? Wasithubutu kulianzisha mikoa ya bara watavuliwa Kanzu wote halafu waambiwe wafunge kamba za viatu
 
Back
Top Bottom