Vijisenti
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 544
- 330
Wakati mwingine uwe na aibu kuongea mambo yasiyo na ukweli.Vurugu kubwa Tandika Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi inagawanyika...!!!
Wakati mwingine uwe na aibu kuongea mambo yasiyo na ukweli.Vurugu kubwa Tandika Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi inagawanyika...!!!
Tandika yombo? Acha uzushi wewe.Tandika Yombo ndo kimesanuka!!Nipo busy kutafuta nyuzi ntawamwagia shortly within a min!
Ni mwendelezo wa kupinga kitendo cha mgalatia mmoja kukujolea msahafu.
Vurugu kubwa Tandika Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi inagawanyika...!!!
Umejiunga tarehe 16/2/2010 bila shaka una kauzoefu kidogo.....ukiingia huku ulete habari yenye huwakika na sio Radio MBAO..!
wakati mwingine tutumie vizuri hii mitandao ya kijamii
Vurugu kubwa Tandika Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi inagawanyika...!!!
sasa ccm na presidenti wanahusika je hapa aisee! Ina maana mimi nikikurupuka hapa nikiwasha kanisa wakulaumiwa ni ccm na kikwete aise!cha msingi tu ni serikali kuwashughulikia wanaofanya fujokwani hao wakina msangi, ighondu na zoka, wanangoja nini kuwang'oa hao watu kucha na meno bila ganzi????? Kamuhanda naye kwa nini hawafumui matumbo???? Arrrrggghhhh! I hate ccm, i hate my president!
Ni mwendelezo wa kupinga kitendo cha mgalatia mmoja kukujolea msahafu.
Ndugu zangu waislam! naomba kutumia nafasi hii adhim katika mtandao huu wa jamii forum, kuwaomba kudumisha amani na mshikamano miongoni mwetu. Kama tulivyofundishwa maana ya uslam kuwa ni unyenyekevu na utii mbele ya allah(S.W). Uislam ni dini ya kupigiwa mfano kwa yaliyo mema. Ni wajibu wa kila muislam kuamrisha mema na kukataza mabaya. Nasikitishwa sana na haya matukio ya uchomaji wa makanisa yanaleta picha mbaya sana kwa umma wa kiislam na kumdhalilisha mtume wetu Muhammad (S.A.W). Tukae na viongozi wetu wa nchi, dini na misikiti tuainishe nini hasa kinachotukera na ikiwezekana tupaze sauti kwa watawala na kuicha taswira ya uislamu ikiwa safi. Katika vurugu hizi zinazoendelea kila kukicha wanaoshiriki wengi si waislamu sasa uanochafuka ni uislamu. Tafadhali ndugu zangu tusikubali kutumiwa na watu wabaya kuidhalilisha dini ya mwenyezi Mungu (S.A). Wakristo ni ndugu zetu, jamaa zetu na watanzania wenzetu kama kuna sehemu wametukosea tuambizane kwa upendo na tukosoane kwa njia zinazofaa. Najisikia aibu kila unapotajwa uislam kwenye vurugu. Inshallah mwenyezi Mungu atupe muafaka.
Wabillah tawfiq.