Hali ya Hatari Tandika!!

Hali ya Hatari Tandika!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Vurugu kubwa Tandika Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi inagawanyika...!!!
 
Tandika wapemba wengi sana huko, watakuwa hao hao
 
kwani hao wakina msangi, ighondu na zoka, wanangoja nini kuwang'oa hao watu kucha na meno bila ganzi????? kamuhanda naye kwa nini hawafumui matumbo???? arrrrggghhhh! I HATE CCM, I HATE MY PRESIDENT!
 
Vurugu kubwa Tandika
Waislamu wanachoma makanisa!!!Polisi chukueni hatua!!Nchi
inagawanyika...!!!

Tandika sehemu gani mkuu? Natokea maeneo ya huko(Davis Corner) na hali iko shwari kabisa.
 
plss tujuzeni vizuri.. wapi na ni makanisa mngapi yamechomwa mpaka sasa??
 
Mbona taarifa hazitoi mwelekeo, Tandika sehemu gani na makanisa mangapi yamechomwa? mwenye habari tujulisheni!!!!
 
Tandika Yombo ndo kimesanuka!!Nipo busy kutafuta nyuzi ntawamwagia shortly within a min!
 
wanachoma makanisa na kuchukua visadaka, na vitu vingine
 
Back
Top Bottom