Ni lazima hiki chama kiitishe uchaguzi mkuu mapema kwa ajili ya kumwondoa mwenyekiti uwezo wake huendani na matakwa ya cdm kwa sasa msipojivua gamaba hiki chama kitakuwa kama NCCR ama TLPcdm wakaze buti waondoe mifarakano baina yao. Chama kiepuke kusikiliza mawazo ya upande mmoja; kuna watu wanajifanya wao ni bora kuliko wengine.
mbunge kama lema anajiona yeye ni damu ya chadema kuliko zito wakati ambapo kimawazo zito yuko juu; cdm inaharibiwa na uriho wa madaraka na ufisadi wa akina mbowe
cdm wakaze buti waondoe mifarakano baina yao. Chama kiepuke kusikiliza mawazo ya upande mmoja; kuna watu wanajifanya wao ni bora kuliko wengine.
mbunge kama lema anajiona yeye ni damu ya chadema kuliko zito wakati ambapo kimawazo zito yuko juu; cdm inaharibiwa na uriho wa madaraka na ufisadi wa akina mbowe
Mhmm hii habari ina matatizo kidogo! Hapa hoja ni ipi?Sahamani sana wakuu mi naona kama hizo hoja mbili zimekaa hapo pamoja lakini zina maudhui tofauti ukiachiambali kuwa zote hazina ushahidi, lakini ya kwanza imefanyika lini labda mimi ndio sina taarifa naomba kufahamishwa CCM imewatosa hao watu lini na wapi? au hii habari ina lenga kutu adaha kuwa tayari wametoswa hivyo hatuna budi kuridhilika maana sasa mambo yapo shwali? huo sio uongo wakuu?
- CCM imewatosa EL na RA; na imewatosa lini Wakuu! au hizi ndio habari za Pwagu na Pwaguzi!
- Mkakati Mkubwa wa kuivuruga CDM! Mbona hakuna Mpango Mkakati ulioainishwa hapa?
Habari ya pili, pia naona kama ipo hapa kusherehesha habari namba moja, yaani hoja ya kusimika uongo.
Mtoa taarifa naomba kuwekwa sawa, CCM imewatosa lini hao watajwa? pia lete ushahidi wa Mpango wa kuivuruga CDM kichwa cha habari hakitoshi kuwa ushahidi hata kama kinafurahisha.
Wana JF
Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na Redio one vimegeuza mwelekeo na sasa vinapenyeza kiaina habari mbaya zote zinaelekezwa kwa CHADEMA ili kuifanya CDM isikubalike na wananchi.
Upo mkakati unafanyika ili kuwavunja nguvu wabunge wa CHADEMA wakose kujiamini bungeni unaofanywa na Spika wa bunge na baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo Radio one na ITV ili ionekene kuwa wabunge wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge mfano Spika Makinda ameripotiwa kuwa Bunge la bajeti la mwaka huu itabidi lianze kwa wabunge kufundishwa kanuni kwani eti wabunge wengi hasa wa upinzani ni wapya hawajui kanuni wanaropoka hovyo bungeni hii si kweli hata kidogo wote tunafuatilia bunge na tuna macho ni ujinga kutufanya hatujui nani hafuati kanuni. Mtaona pia yale yaliozungumzwa wiki iliyopita na Katibu wa Bunge ilikuwa moja ya mbinu za mkakati huo unaoratibiwa kistadi isivyorahisi kugundulika na mwanachi wa kawaida.
Mkakakati mwingine ni kuwatumia wabunge mamluki waliondani ya CHADEMA kuanzisha vurugu kwa kutafuta hoja za kuvuruga chama.
Nilitoa angalizo mapema kuwa CCM sasa watatumia sana wale waandishi mahiri ambao wanaaminiwa na wananchi kuivuruga CHADEMA.
CHADEMA isimame imara kwani ikikubali kuvurugwa kama vyama vingine vilivyosambaratishwa na CCM itakuwa ndio mwisho wa imani ya wananchi wa nchi hii kwa vyama vya upinzani. Kumbukeni CHADEMA kilivyosaidia watu wengi kuamka na kujua haki zao na kimefanya CCM kujikuta kiko uchi na wizi wa mali za uuma umepungia. CHONDECHONDE kuweni makini. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU ILINDE CHADEMA.
Chadema tayari imeshakuwa 'hisia' ukombozi -imezama vichwani mwetu kama moshi wa bangi unavyozama kwa mtumiaji
Hata likifa jina CDM hisia za kiukombozi hazitakufa daima till malengo yamefikiwa
Wana JF
Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na Redio one vimegeuza mwelekeo na sasa vinapenyeza kiaina habari mbaya zote zinaelekezwa kwa CHADEMA ili kuifanya CDM isikubalike na wananchi.
Upo mkakati unafanyika ili kuwavunja nguvu wabunge wa CHADEMA wakose kujiamini bungeni unaofanywa na Spika wa bunge na baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo Radio one na ITV ili ionekene kuwa wabunge wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge mfano Spika Makinda ameripotiwa kuwa Bunge la bajeti la mwaka huu itabidi lianze kwa wabunge kufundishwa kanuni kwani eti wabunge wengi hasa wa upinzani ni wapya hawajui kanuni wanaropoka hovyo bungeni hii si kweli hata kidogo wote tunafuatilia bunge na tuna macho ni ujinga kutufanya hatujui nani hafuati kanuni. Mtaona pia yale yaliozungumzwa wiki iliyopita na Katibu wa Bunge ilikuwa moja ya mbinu za mkakati huo unaoratibiwa kistadi isivyorahisi kugundulika na mwanachi wa kawaida.
Mkakakati mwingine ni kuwatumia wabunge mamluki waliondani ya CHADEMA kuanzisha vurugu kwa kutafuta hoja za kuvuruga chama.
Nilitoa angalizo mapema kuwa CCM sasa watatumia sana wale waandishi mahiri ambao wanaaminiwa na wananchi kuivuruga CHADEMA.
CHADEMA isimame imara kwani ikikubali kuvurugwa kama vyama vingine vilivyosambaratishwa na CCM itakuwa ndio mwisho wa imani ya wananchi wa nchi hii kwa vyama vya upinzani. Kumbukeni CHADEMA kilivyosaidia watu wengi kuamka na kujua haki zao na kimefanya CCM kujikuta kiko uchi na wizi wa mali za uuma umepungia. CHONDECHONDE kuweni makini. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU ILINDE CHADEMA.
Mbona hamdhubutu kuweka sifa za menyekiti wenu waziHivi Makinda Adv. Diploma anaweza kuzuia nguvu ya CDM?