Hali ya hatari jijini dar....!!!!

Hali ya hatari jijini dar....!!!!

Haya yamechangiwa na mfumo mbovu wa elimu, mmomonyoko wa maadili ikiwa ni pamoja na wazazi kutotimiza wajibu wao katika malezi. Siku hizi nyumba nyingi zina wazazi/walezi 3, baba, mama na TV, watoto wanaangalia chochote kwenye tv wazazi wako busy na kutafuta pesa, kuna faida gani uwe na pesa nyingi lakini watoto wako wakaishia kula bange, madawa ya kulevya na wizi. Mabanda ya video nayo yanahusi hasa kwa Uswahilini.
 
Hawa ndio vijana wa panya road wanao itikisa dar.....!
66e70d27101121d35ac3fb185a34894ef51e29da5df688b9b05d85ecf54e7e50.jpg
panya wakiwa kazini...
 
Back
Top Bottom