Hali ya hatari jijini dar....!!!!

Hali ya hatari jijini dar....!!!!

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,464
Hawa ndio vijana wa panya road wanao itikisa dar.....!
 

Attachments

  • 1420268193493.jpg
    1420268193493.jpg
    49.4 KB · Views: 1,236
Nimeona video moja vijana kama hawa wanauliwa na kuchomwa moto
 
Ukipanda nyasi usitegemee kuvuna ufuta.

CCM imepanda nyasi na kuzipalilia kwa muda mrefu wakiamini katika kusalia madarakani kwa kufuga ujinga na maradhi

Wameifanya elimu kuwa ya wachache tena kwa koo na jamaa za mafiasadi na baadhi ya wanasiasa, lengo kuitawala nchi ya wajinga milele.

Sasa wajinga wanafanya yale ambayo yatawafanya wateule wachache wanaokula na kusaza sasa kuikimbia nchi,

Hayati baba wa Taifa Mwl J. K Nyerere alilipenda Taifa hili kwa nguvu zake zote aliifanya elimu haki kwa kila mmoja

bila matabaka
akina mkapa, kikwete nawezao wakasoma bure lakini wao wamegeuza kuwa mali ya koo na familia zao

Tunavuna tulichopanda, huu ni mwanzo kama nimnvua basi ni manyunyu Mvua halisi inakuja miaaka michache ijayo,

mwenye masikio na akili na asikie.
 
Acha uongo, hiyo picha wala sio ya watanzania, wengine mmeumbwa muishi kwa uongouongo tu.

Unaweza kuwa sahihi 100% kwamba jamaa kaweka picha bandia.

Fahamu kitu kimoja, tunajifunza uhalisia wa jambo lolote mara nyingi kwa mifano, ukweli unabakia palepale

tunakoelekea hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya Tanzania ya kesho.
 
tumefika hapa kwa udhaifu wa ......,...............
 
Back
Top Bottom