Hali ya chuo kikuu cha Kampala DSM kwa sasa!!

Hali ya chuo kikuu cha Kampala DSM kwa sasa!!

Hello, guys kdogo nmeptia nyuz znazohusu chuo kikuu cha Kampala humu jf nyingi znakiponda chuo hiki lakini nmejaribu kuziangalia nyingi almost zote ni za nyuma kidogo kuanzia 2019 na kushuka chini cjabahatika kuona nyuz za hivi karibuni kuhusu chuo hiki
So, kwa wazoefu,wanaokijua, wanaosoma hapo n.k chuo hiki nowdays kipo vizuri? Au bado kina vitimbwanga kama mwanzo? Coz nmechaguliwa hapo ningependa kupata mwanga kidogo kuhusu chuo hiki[emoji120][emoji120]
Kwa record zangu za nyuma hamna chuo kimezalisha watoto wakike wahuni kama icho sijui tatizo lilikuwa mini.
 
Ni chuo kizuri kwa kozi husika. Ila wana tabia mbovu za kuanzisha kozi bila idhini ya TCU.

Yaani unasoma chuo kinachotambulika lakini kozi haitambuliki.

Muhimu ni kutafiti kama kozi unayoenda kusoma imewahi kutoa wanafunzi na hawakupata tatizo lolote.
Upo sahihi sana mkuu.
 
Uongozi wa tcu wa miaka ya nyuma ulaumiwe sana kuhusu matatizo ya kitaaluma ya hiki chuo na baadhi ya vyuo vingine kama smmuco. Hata hayati Magufuli alikitaja hiki chuo wakati huo kwamba hakiko sawa kitaaluma.
 
Nikiona mwanaume anaandika "Coz" najua ni shoga anafirigiswa
 
Nikiona mwanaume anaandika "Coz" najua ni shoga anafirigiswa
unaona ivo "COZ" na ww pia ni ....
Jukwaa la elimu hili bro na nmefata taratibu zote Asa kama unatafuta ma.... Wenzio nenda jukwaa husika [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Uongozi wa tcu wa miaka ya nyuma ulaumiwe sana kuhusu matatizo ya kitaaluma ya hiki chuo na baadhi ya vyuo vingine kama smmuco. Hata hayati Magufuli alikitaja hiki chuo wakati huo kwamba hakiko sawa kitaaluma.
[emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom