Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 283
Hello, guys kdogo nmeptia nyuz znazohusu chuo kikuu cha Kampala humu jf nyingi znakiponda chuo hiki lakini nmejaribu kuziangalia nyingi almost zote ni za nyuma kidogo kuanzia 2019 na kushuka chini cjabahatika kuona nyuz za hivi karibuni kuhusu chuo hiki
So, kwa wazoefu,wanaokijua, wanaosoma hapo n.k chuo hiki nowdays kipo vizuri? Au bado kina vitimbwanga kama mwanzo?
So, kwa wazoefu,wanaokijua, wanaosoma hapo n.k chuo hiki nowdays kipo vizuri? Au bado kina vitimbwanga kama mwanzo?