Ni nani huyo mtu? Anahusika na nini?Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga bandage na anatembelea ndala, Nimemuona leo asubuhi nkiwa naelekea kazini atembea kwa msaada wa watu wanampa support (Nahisi alikua amelewa sana) Uso wake ni kama hauna matumaini
Nitoe wito kwa wasanii wenzake na Familia yake wamfuate pale msasani coz anaishi maskani na hana mtu wa kumuangalia, Sina uhakika ila kuna uwezekano labda amerudi tena kwenye wimbi la madawa ya kulevya
Kwa inavyoonekana ni kama wasanii wenzake wamemsusa, hawana time naye tena Lakini naona sio sahihi coz ni Msanii mwenzao inabidi wakubali kubeba hili jukumu la kumlinda na kumtunza Chidibenz, Juzi kwenye show ya Serengeti pale K/nyama viwanja vya posta, Chidibenz alipanda Wakimtenga hivi depression inaweza ikammaliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje coz inaumiza sana kumuona Ndugu au mtu wako wa karibu akiwa anapitia kipindi kigumu
Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni rahisi kuanguka
Mnaongea kwa mafumbo. Na sisi wengine tunataka kumjua. Ni nani huyo?Faida ya ngada hiyo!!
Uko sahihi. Na mbaya zaidi tunajifanya hatuoni. Sijui ni kwa nini msanii akijikwaa watu wanajifanya kusikitika sana wakati kuna wakulima, wafugaji, wamachinga na kila aina ya makundi wanapitia hayo hayo. NB: sisemi watu wasimjali ila nataka tuwe tu aware kuwa wananchi tunakitakiwa kupigana kumwondoa huyu adui wa taifa letu anayeitwa CCM kama tunataka future nzuri.Hayo ndo maisha ya watanzania wote fungua macho usiwe kama chura kipofu...
Umesema ukweli japo ni mchungu. Dunia na maisha kwa ujumla hayana huruma. Ndiyo, watu kama hawa wakishafika hiyo stage ya uteja wanahitaji msaada kwani wenyewe wanakuwa hawana uwezo wa kujisaidia tena, lakini kiuhalisia kwa maisha ya kitanzania hili ni gumu kutokea. BTW si ni watu wa CCM hawa? Au inawapenda wanapokuwa wazima tu?Hakuna atakaekusaidia kuishi maisha yako zaidi yako. Acha aishi maisha yake mtu akishafikia hatua ya kujiona yupo sawa na wakati hayupo sawa sio jambo jepesi kumtoa huko alipo, unadhani familia yake imempotezea?
Umeongea point. Wanyonyaji katika hiyo sekta ya music ndo wamewafikisha wengi hapo mahala oabaya walipofika, miongoni kwao Tod na q.chief. Vijana walikuwa na vipaji lakini wanyonyaji wakawadhibiyi na kuwakamdamiza na kiwataka wafate SHERIA zao kandamizi na wakiuliza tu wanapotezwa kwenye industry, muziki Yao haipigwi... management za kinyonyaji miongoni kwao marehemu Ruge na Joseph kusaga na kina chief kumbe... Diamond mjanja sana alkwasanukia mapema akatupa huko, ingawa mpaka Sasa sio kwamba yupo salama sana sababu bado wamemganda na wanampa percentage kidogo hapo wasafi...let's wait and see kama atafanikiwa kwenye hiyo seven mediaChidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.
Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
Kwelii kabisaaUko sahihi. Na mbaya zaidi tunajifanya hatuoni. Sijui ni kwa nini msanii akijikwaa watu wanajifanya kusikitika sana wakati kuna wakulima, wafugaji, wamachinga na kila aina ya makundi wanapitia hayo hayo. NB: sisemi watu wasimjali ila nataka tuwe tu aware kuwa wananchi tunakitakiwa kupigana kumwondoa huyu adui wa taifa letu anayeitwa CCM kama tunataka future nzuri.
Walimchokoza wakaupload video kwa Mange yupo na Mashoga waandishi kanjanja wakamfuata akawapaka kinyesi wasanii kwamba anawajua wanaovaa pampasHuyu Chidi juzi kati katoboa Siri kuwa Wasanii wengi ni mashoga (wanalika), unadhani watakuwa nae?
Mjumbe wa nyumba 10Ni nani huyo mtu? Anahusika na nini?