Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi

Jaribuni kilimo wana. Mbona mi mavuno daily nachukua mzigo wangu naenda kubwaga mabibo / ilala / kisutu. Kimyaa

Shambani nina pig farming...life linaenda.

Well Times Have Changed, So Should You.

Siku hizi biashara za uchuuzi hazina hela....mnalost nawaambia. Badili mfumo tu. Unaweza anza humbly.

Nawajua Watu wamefunga maduka (vigoli vyao kariakoo) wamefungua magenge / grocery classic sehem za kishua wana make sana tu.

Mfano ya nn kufungua kiduka cha vifaa vya umeme wakati watu wanaenda kununua vifaa vya umeme kwa big wholesalers...?? Wapo kibao nani anunua bulb buku 3 wakati kuna dealers wanauza bulb 1,500 - 1,700

(i hope people are getting my point)
Ukishindwa yote hayo mchawi udalali tu. 🤣
 
Hivi machinga bidhaa wanazipata wapi? Dukani Juice blender ni Tsh 85,000 kwa machinga Tsh 55,000
wananunua wote sehemu moja, machinga anacut cost na kuokoa pesa ya Kodi la pango, kodi TRA, leseni ya biashara, pesa za vibali na ushuru mwingine, bills za maji na umeme, etc Yeye analipia kitambulisho cha mjasiriamali elfu 20 kwa mwaka, unategemea atauza kitu sawa na huyo mwenye fremu.

Sorry, ulishawahi kufanya biashara yoyote mkuu?
 
Jaribuni kilimo wana. Mbona mi mavuno daily nachukua mzigo wangu naenda kubwaga mabibo / ilala / kisutu. Kimyaa

Shambani nina pig farming...life linaenda.

Well Times Have Changed, So Should You.

Siku hizi biashara za uchuuzi hazina hela....mnalost nawaambia. Badili mfumo tu. Sio mpaka uwe na mabilioni.

Nawajua Watu wamefunga maduka (vigoli vyao kariakoo) wamefungua magenge / grocery classic sehem za kishua wana make sana tu.

Mfano ya nn kufungua kiduka cha vifaa vya umeme wakati watu wanaenda kununua vifaa vya umeme kwa big wholesalers...?? Wapo kibao nani anunua bulb buku 3 wakati kuna dealers wanauza bulb 1,500 - 1,700

(i hope people are getting my point)
Changamoto ikiletwa inatakiwa ifanyiwe kazi na kutatuliwa na wahusika, kusudi hawa wenye maduka waendelee na biashara zao bila bughudha. Ikiwa kila ukipata changamoto inayoletwa na mfumo unabadili biashara si tungebadili kila siku?

Mleta thread ameaddress tatizo sidhani kama ameomba ushauri wa kubadili biashara.
 
wananunua wote sehemu moja, machinga anacut cost na kuokoa pesa ya Kodi la pango, kodi TRA, leseni ya biashara, pesa za vibali na ushuru mwingine, bills za maji na umeme, etc Yeye analipia kitambulisho cha mjasiriamali elfu 20 kwa mwaka, unategemea atauza kitu sawa na huyo mwenye fremu.

Sorry, ulishawahi kufanya biashara yoyote mkuu?
Sijawahi.
 
Changamoto ikiletwa inatakiwa ifanyiwe kazi na kutatuliwa na wahusika, kusudi hawa wenye maduka waendelee na biashara zao bila bughudha. Ikiwa kila ukipata changamoto inayoletwa na mfumo unabadili biashara si tungebadili kila siku?

Mleta thread ameaddress tatizo sidhani kama ameomba ushauri wa kubadili biashara.

Zama zimebadilika. So Should You.

Kama Huwezi

Mchawi Udalali Tu
 
Back
Top Bottom