Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa


mi sijui kusoma ila picha naona.naona mastaa wengi waliowahi kuonekana na Laigwanani wanapukutika tu!sijui laana hii?!hivi nani alizindua ile chopa ya Gwajima vile?
 
atajuaje kwao wakati ni watoto wetu wa Kisutu pale kulikuwa na kina mama wa Ki.......... Wanajiuza? Afe tu toto la haramu hilo

Ungeishia kwenye jina-Kisutu, bado ingenoga tu tena mimi nilidhani unamaanisha vijana wa mjinimjini hawayajui vizuri mambo ya vijijini.
 
Nataka kumletea zawadi ya PAMPAS wakuu ili zimsaidie akijisaidia....maana nasikia hali yake ni mbaya..naomba waungwana kama kuna mfuasi wake humu...aje achukue mchango wangu kwa mtume wetu wa nyakati hizi......nawasilisha..........

Wewe ropoka,yakufike km yalivyomfika...
 

huyo ndio mmoja katika hilo baraza la vichaa chadema(Bavicha) ni maroboti hayo yamepewa kazi ya kueneza uongo bila kujali athari zake. Akishapewa kibox cha kiroba inatosha
 
Siku nyingi nililiona hilo lakini pia baada ya kusikia ile clip ya kumdhalilisha Pengo nilibaini uwezo wa Gwajima kusoma hatari ni mdogo. Lile sio Pengo tena ni jino linang'ata sasa.
 

Washindanao na Bwana watapondwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…