Hali tete Masasi

CCM wanajua kuwa wamepoteza ngome muhimu sasa wanahangaika. Wakati wa Anna Abdhalla na vibaraka wa Magogoni kuwachagulia viongozi wanakusini umekwisha. Hata kama wafanye vipi Masasi na kusini kwa ujumla haiwezi kurudi kuwa ngome yaCCM kama ilivyokuwa kabla ya kadhia hii.
 

Kweli HAKUNA KUPUMZIKA mpaka kinapoeleweka unaweka pause.
 
Ccm mliiweka madarakani wenyewe!!!!!!!! Sasa malalamiko ya nini?
kwa kauli hii, umesema ukweli ila tatizo walio madarakani wanadhani wao pekkee ndiyo wana sifa kamili ya kuwa WATANZANIA. WANACHOTAKIWA KUFANYA NI KUBADILI MTAZAMO WAO TU, NA KUPAMBANA NA UOVU, NAPO KTK HILI SHIDA INAKUJA PALE AMBAPO NAO NI WAOVU WA KUFA MTU. ILA UMESEMA UKWELI NAKUPONGEZA TENA WENGINE WAKE ZAO WALIpewa leso, fulana, chumvi, kofia kisha wakatoa ulaji kwa wenye meno. sasa wanaliwa wanalalamika.ila kama habasri hizi ni za kweli basi tunakoenda ni kubaya kuliko maelezo, walio madarakani wafahamu dhuruma haisimami daima ila haki ndio husimama daima na kudumu
 
Jf imeingiliwa na watoto sasa ambao wanataka ku practice english kwa zile tuishen za mchikichini

That is true. Wakati wewe unataka purity of language,there are some people who want to learn a few english words. Me,I do not need to practice english. I go the very source of english,the webster dictionary.
 
Okay,labda mimi natoa comments bila kufahamu subject. Nilikuwa nashangaa tu kwamba watu wanaweza kukamatwa Masasi just because wao ni Chadema,jinsi ambavyo such a thing could have catastrophic political repurcussions,so,I wanted to say something helpful.
 

Andrew,

Nashawishika kukuita mtumwa. Nimekuita kwa jina moja tu la Andrew bila kumalizia jina la pili kwasababu unalidhalilisha hilo jina la pili.

Kuwa mwanachama wa CCM sio tiketi ya kutetea maovu yanayofanywa na chama chako. Hata JK Nyerere pamoja na kua mwanachama na muanzilishi wa chama lakini alikua mda wote anakemea maovu yanayofanywa na CCM.

Jitambue ndugu yangu Andrew,ondokana na ukungu uliojaa machoni kwako na litendee haki hilo jina la NYERERE
 
mbinu na hila za ccm zimekwisha hiyo ndio njia ya kutupa nguvu na hoja kwa chadema ,makamanda wavumilie ukombozi huko karibu kikija kikosi cha makamanda wote watatoka na nguvu mpya
 
Hii serikali imezoea kuwanyanyasa wananchi ila mwisho wake watauona ....
 
Nakuja na Hii ya Kufungua Mwaka.........Watanzania lazima tubadilike......Ukiangaliza 85% ya Forum nyingi humu ndani,ni mambo ya Siasa tuu......Siasa ni mchezo mchafu......

Katika Maandamano mengi ya Siasa,ulishawahi kuwaona watoto wa wakubwa nao wapo kwenye Maandamano?????

Mfano hai ni huu....Kipindi cha Machafuko Zanzibar....,,,,Maalimu Seif na Familia yake nzima,,walikimbilia Nchi za nje kwenda kula raha na kuwaacha ndugu zetu Wakichinjana kama kuku...

Arusha watu kadhaa walijeruhiwa na kufa huku Watoto wa Vigogo wakiwa ama makwao,au wanakula zao Maisha ...

Ushauri wangu ni huu..
1:Watanzania tukubali kwamba,wanasiasa kamwe,hawawezi kufanikisha maisha yetu na familia zao..

2:Wanasiasa ni watu wanafiki na hawafai kabisa kufuatwa....

3:Hupandikiza chuki kwa Jamii na hata kugawa Jamii na kusababisha Maafa Makubwa...

4:Watanzania Msipoteze muda wenu bure,kwa masilahi ya wanasiasa ,,huku familia zenu zikiwa zinataabika..

Mwenye akili timamu atakuwa amenielewa vizuri,,Ila mwenye akili finyu,atanipinga na kunikosoa sana...

Nawasilisha
 
Wache wakamatwe na watiwe adabu wao walibipu watu sasa wanapiga, kelele za nini ukimwaga ugari wengine watamwaga mboga
 
Hawa magamba kwanini hawataki kujifunza kupitia tunisia, libya, misri kuwa nguvu ya umma haijalishi una jeshi zuri kiasi gani?Hakuna historia kwa nguvu ya umma kuwahi kushindwa katika dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…