HALI TETE CHADEMA: Ofisi sasa yageuzwa duka

HALI TETE CHADEMA: Ofisi sasa yageuzwa duka

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
11168456_750789558401021_7955796326913926177_n.jpg
[/h]Huku kwetu hiki chama kimekufa na ofisi zao zimegeuka maduka
 
Nahisi baada ya kugundua bongo kuna chama kimoja tu..
 
Ebwana kweli.

Naona Mafuta ya kupikia, Vitunguu, Pilipili hoho, Maharage kwenye kimbolea na zagazaga nyingine tele
 
mbeya vijijini hapo karibu na kwa sugu,kweli magufuli noumaa
 
mbeya vijijini hapo karibu na kwa sugu,kweli magufuli noumaa
Halafu kwenye hiyo picha ukiangalia kushoto ukutani (sambamba na mlango) utaona wameandika "we shall win 2015". Afadhali wangeapdeti mwaka usomeke 2020.
 
Halafu CCM wanalipenda hilo duka ndiyo maana siri za ccm zinavuja sana.
 
Back
Top Bottom