Kwani Tanzania kumekuwa na serikali siku hizi? Je lile genge la wahuzi, wezi, wanyang'anyi, walaghai, wauwaji, wa nguvu mpya na ari mpya walishaondoka? Je hapo SEKOMU waliahidiwa maisha bora zaidi kuliko watanzania wengine? Mbona tunakuwa wasahaulifu kiasi hiki? Haya malalamiko kila kona ya nchi yetu ni matunda na matekeo ya ujinga na usahaulifu tulio nao sisi Watanzania tena kwa kujitakia kwa kukubali kuongozwa na wahuni.
sekomu ndo chuo gani? au ni pacha na ZOOM POLYTECHNIC?
Nimechelewa kujibu ninadhani aliyeandika habari hii amekurupuka upo utaratibu sahihi na kwa wale wenye mkopo waliolipa kwanza pesa yao inajulikana itaendelea kulipia maswala mengine na pindi watakapo maliza chenji wata rudishiwa. Vilevile ni utaratibu wao unapoingia lazima ulipe pesa kidogo isiyofika laki 5 kwani uhakika kama utapata mkopo kwa wakatihuo haupo na pia unachelewa kuja so ni vyema unapotoa taarifa toaa ya ukweli na kina sio ya chuki au fitina au isio na uchunguzi wa kina. Shukrani.wapenzi wanajamii na wanazuoni hali ni mbaya sanaaa ktk chuo cha sekomu, hii ni kutokana na chuo kutaka kujiendesha kwa kutegemea makosa ya wanachuo ktk kusajiri course kwa gharama ya asilimia 40 ukishindwa adhabu ni kutozwa shs.50000 kwa kila course pili ni kujiondoa chuoni na ikumbukwe kuwa serikali inawalipia baadhi ya wanafunzi ada ambayo inazidi asilimia 40 wanayo dai ili kusajili