Hali si shwari Zanzibar eneo la bwawani


Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
Break News hali ya znz hivi sasa sio shuari Wafuasi wengi wa cuf wanazidi kuongezeka Bwawani wakiilalamikia Tume kuwa mshindi wa urais apewe haki yake sio zulma


Kwa takuimu za majumuisho tayari Maali Seif anaongoza kwa asilimia 52 ukiliganisha majipo yote ya Pemba na majimbo 3 Unguja. mpaka sasa hivi Malim Seif anaongoza kwa kura za urais kumshinda mpinzani wake Dr Shain lakini katika habari za ndani nikuwa kuna ujumbe rais umekuja kutoka Bara ukiongozwa na vigogo wa ccm kutaka kuisindikiza tume ya uchaguzi Zec wamtangazie Dr Shein kwa asilimia 58. kutangaziwa kwa Dr shein ni kumuweka pabaya Mh Amani kutokana na mchakato wate wa Amani ya Zanzibar na kuelekea serekali ya Umoja wa kitaifa. Pindipo akitangaziwa Dr Shein kuwa mshindi kwavile takumu zote wazanzibar tayari wanazo itarejesha nyuma hali ya halisi ya zanzibar na kuleta mfaraka. Mh Dr Shein tayari ameshapewa tahadhari kubwa na wazee wa Kisiwa cha Pemba kuwa anajijengea mazingira magumu na Uraisi wa kubandikiza utamchukia.


Break News hali ya znz hivi sasa sio shuari Wafuasi wengi wa cuf wanazidi kuongezeka Bwawani wakiilalamikia Tume kuwa mshindi wa urais apewe haki yake sio zulma « MZALENDO.NET
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
7
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 7 145
Kwanini wanafanya hivyo hawajui kuwa wanataka kuleeta maafa makubwa na ninahisi kitu kilicho mbeleni sio kizuri kabisa
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,945
Likes
239
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,945 239 160
Yale yalee!!
Ila safari hii sidhani kama CCM watachakachua kirahisi namna hiyo.
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
Mtu kashinda kihalali si wampe nchi jamani hawa ZEC vp tena??
 
Z

Zion Train

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Messages
503
Likes
3
Points
35
Z

Zion Train

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2008
503 3 35
yale maneno ya mkapa na kikwete waliyoyasema pale jangwani ni ya hatari sana, ni bora watangaze tu mapema hiyo chelewa chelewa yao wanaweza sababisha makubwa.
 
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Likes
24
Points
135
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 24 135
Wanataka kujificha kwenye shamba la mikaranga.
 
C

chamajani

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Messages
554
Likes
1
Points
0
C

chamajani

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2010
554 1 0
Taarifa hii ina lengo la kuivuruga zanzibar tena, ze true information ni kuwa Dr. Shein won the presidency in percentage btn 51.5-52.0?%
Lets Zanzibaris become calm! to cerebrate results and form a coalition govt. Hatugombanishwi mara hii!
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,945
Likes
239
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,945 239 160
Kama hawataki basi wafanye Zanziba iongozwe Kifalme kusiwe na gelesha ya demokrasia.
warithishane tu uongozi mara Abed karume mara mwanawe akitoka Shein aje mwanawe iwe hivyo na sio kudanganyana demokrasia demokrasia.
 
C

chanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Messages
279
Likes
0
Points
0
C

chanai

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2010
279 0 0
Hao mafisadi wanafuata nini Jenz? Bara tujiandae pia kuchakachuliwa matokeo ya Uraisi. Hii mijamaa mifisadi haifai kabisa
 
Nyunyu

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Messages
4,373
Likes
138
Points
160
Nyunyu

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2009
4,373 138 160
Hawa jamaa bana wanachekesha sana!!! KWa hiyo serikali ya umoja wa kitaifa inakuwa nzuri pale CCM wanapounda, na si upinzani!!! Hawa wanywa damu za watu vipi!!!

Mpeni maalim haki yake bana!!!! Mkuu Jenius vipi tupe data zaidi!!!!:doh:
 
K

Kijunjwe

Senior Member
Joined
Mar 3, 2007
Messages
183
Likes
0
Points
33
K

Kijunjwe

Senior Member
Joined Mar 3, 2007
183 0 33
FUONI
Waliojiandikisha 10884
Waliopiga kura 9367 %86.1
Kura halali 9201 %98.2
Zilizoharibika 166 %1.8
DK SHEIN CCM 6351 %69.0
Maalim Seif CUF 2777 %30.2
Kasim Bakr Ali wa jaahazi asilia ni 9 % 0.1

MTONI
Waliojiandikisha 9672
Waliopiga kura 8768 %90.7
Kura halali 8635 %98.5
Zilizoharibika 133 %1.5
DK SHEIN CCM 3746 %43.4
Maalim Seif CUF 4852 %56.2

DOLE
Waliojiandikisha 8017
Waliopiga kura 4912
Kura halali 6834 %98.4
Zilizoharibika 108% 1.6
DK SHEIN CCM 4777 %69.9
Maalim Seif CUF 2007 %6.4
Kasim Bakar wa jahazi asilia 16 % 0.1

DIMANI
Waliojiandikisha 12813
Waliopiga kura 11383 %88.8
Kura halali 11298 %68.5
Zilizoharibika 175 % 1.5
DK SHEIN 6225 % 55.5
Maalim Seif CUF 4898
Tadea na Jahazi asilia wamefuata kwa kufungana kwa kura 23

Kiembe samaki
Waliojiandikisha 4998
Waliopiga kura 3856 %35.4
Kura halali 3806
Zilizoharibika 50 % 1.3
DK SHEIN CCM 4338
Maalim Seif CUF 2812
NCCR mageuzi 10

Mwanakwerekwe
Waliojiandikisha 8062
Waliopiga kura 7253 %90.3
Kura halali 7178 % 98.4
Zilizoharibika 115 % 1.6
DK SHEIN CCM 4338 % 60.4 2812 % 39 .2 NRA 10 %0.1
Maalim Seif CUF

BUBUBU
Waliojiandikisha 9809
Waliopiga kura 8827
Kura halali 8606
Zilizoharibika 121
DK SHEIN CCM 4458 %51.8
Maalim Seif CUF 4119 % 47.9
Nra 12 % 0.1

MFENESINI
Waliojiandikisha 7242
Waliopiga kura 6203% 85.7
Kura halali 6038
Zilizoharibika 165
DK SHEIN CCM 3755 %62.2
Maalim Seif CUF 2246%37.2
AFP 11 %0.2

AMANI
Waliojiandikisha 7641
Waliopiga kura 6857%
Kura halali 6725
Zilizoharibika 112 %1.6
DK SHEIN CCM 4567 % 64.9
Maalim Seif CUF 2312 %34.4

Raha leo
Waliojiandikisha 7229
Waliopiga kura 6399 %88.5
Kura halali 6300 %88.5
Zilizoharibika 99 %1.5
DK SHEIN CCM 4043 %64.2
Maalim Seif CUF 2216 %35.2

KIKWAJUNI
Waliojiandikisha 7910
Waliopiga kura 6513 %82.3
Kura halali 6431%98.7
Zilizoharibika 82 % 1.3
DK SHEIN CCM 4534 %70.5
Maalim Seif CUF 1860 % 28.9

KWAHANI
Waliojiandikisha 7497
Waliopiga kura 6459%86.2
Kura halali 6398 %99.1
Zilizoharibika 61 %0.9
DK SHEIN CCM 4994%78.1
Maalim Seif CUF 1349 %21.1

MJI MKONGWE
Waliojiandikisha 7495
Waliopiga kura 6414 %85.6
Kura halali 6334 %98.8
Zilizoharibika 80 %1.2
DK SHEIN CCM 1589 %25.1
Maalim Seif CUF 4717 %74.5

Magogoni
Waliojiandikisha 10101
Waliopiga kura
Kura halali
Zilizoharibika
DK SHEIN CCM 3867 %44.1
Maalim Seif CUF 4867 %55.4

MPENDAE
Waliojiandikisha 9459
Waliopiga kura 8596 %90.9
Kura halali 8476
Zilizoharibika 120
DK SHEIN CCM 4870 %57.5
Maalim Seif CUF 3546 %41.8

Haya matokeo ya Unguja kwa HISANI ya hakingowi blog, watupe ya pemba ili tujue ukweli wa huko
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
7
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 7 145
Mwendo mdundo
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
7
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 7 145
taarifa hii ina lengo la kuivuruga zanzibar tena, ze true information ni kuwa dr. Shein won the presidency in percentage btn 51.5-52.0?%
lets zanzibaris become calm! To cerebrate results and form a coalition govt. Hatugombanishwi mara hii!
pole naona bado mnaweweseka
 

Forum statistics

Threads 1,251,131
Members 481,585
Posts 29,758,815