Magufuli kashasema hadharani kwamba anawadukua watu bila ridhaa zao...wasiwasi wangu ni kwamba vijana wanaweza kuamini kwamba KUDUKUA mawasiliano ya MPINZANI wako ni mbinu HALALI ya kisiasa.
..Kwa uelewa wangu kashfa ya Watergate iliyosababisha Raisi Richard Nixon auteme wadhifa wake ilihusu makosa ya udukuaji yaliyofanywa na timu yake ya kampeni.
..Sijui sheria zetu za udukuaji mawasiliano zinasemaje.
Cc Nyani Ngabu, Kiranga
yeye ni nani kwenye hili? au ulichosoma kinahusiana vipi na akina Kinana kukaa kimya?Kinana na Nape wakae kimya maana hili linaenda pabaya. Nimemsoma Albert Msando nakuona direction ya hili ....
Yawezekana labda ni mimi tu. Labda ni hisia zangu tu. Labda ni jakamoyo langu tu.
Natamani akili yangu iwe inanihadaa [my mind playing tricks on me...shout out to the Geto Boys. RIP Bushwick Bill].
Kinachoendelea sasa hivi nchini kimeanza kunipa wasiwasi.
Huyu mtu aitwaye Musiba naona kaibua mengi. Au labda niseme kasababisha yaibuke mambo ambayo yananipa hofu.
Yote yaliyotokea kabla ya hii kanda ya sauti inayodaiwa kuwa ni ya Nape Nnauye na Abdul Kinana, nilikuwa napuuzia tu. Kusema ukweli zile sauti zinafanana sana na sauti zao.
Wawili hao wanadaiwa kumteta Rais Magufuli.
Hii kanda imenifanya nijiulize mengi sana.
Najiuliza Magufuli anaungwa mkono kiasi gani na viongozi wa juu wa chama chake, wastaafu na waliopo madarakani.
Kama haungwi mkono na wengi, je, hii serikali yake ni dhoofu kiasi gani?
Manake sioni ni kivipi anaweza kuongoza na kufanya kazi kwa ufanisi kama atakuwa anapingwa kwa kiasi kikubwa na walio wengi kwenye uongozi wa chama chake.
Isije kuwa tuna raisi ambaye katengwa wenzake!
Usijidanganye, wewe gusa tuu panapo husika ndiyo utajua kama mambo hayo yapo Tanzania au la. Kwanza hivi vitu ni vidogo sana kwa mtu aliyepitia pitia mambo ya mawasiliano. Tatizo watu kwa kuwa wanatumia "smart phone" na kubonyeza bonyeza basi wanafikiri nao ni smart.Mambo ya nchi zilizoendelea,...kwetu bado
Magufuli kashasema hadharani kwamba anawadukua watu bila ridhaa zao.
As long as CCM ndiyo imeshika jiko ni vigumu kuisambaratisha. Ingekuwa hivyo ba Lowassa angeimaliza kwani alikuwa na uungwaji mkono wa wajumbe wengi.
Kinana na Nape wakae kimya maana hili linaenda pabaya. Nimemsoma Albert Msando nakuona direction ya hili ....
Mkuu Nyani Ngabu kwanza nikupongeze kwa kuanza kuuona mwanga... Hujachelewa sana ila umechelewa..
Mwenzio nilianza kushtuka mara baada ya kukutana na msafara wa JPM punde tu baada ya kutawaza kuwa raisi wa nchi hii. Ule ulinzi haukuwa wakaida.. Na tangu siku ile naamini kuwa Ikulu si mahali salama sana kwa JPM..
Anyway; nchi lazima itanukeeeee... itanuke weeee ili mwisho wa siku raia wapate uhuru na demokrasia kamili!
Price must be paid!
Magufuli anaungwa mkono na na wananchi wa kawaida . Tatizo watanzania tuna extremely short memory inaeleweka waliasisi na kuishi na kunufaika kwenye mifumo aliyoibomoa Magu hawezi kumuunga mkono japo wanamuogopa kama ukoma ndo maana kurelease statement yao imekuwa kama kujiwasha moto
unamuamini Msando ?Kinana na Nape wakae kimya maana hili linaenda pabaya. Nimemsoma Albert Msando nakuona direction ya hili ....
Wapi Jiwe ameumbuka....!!?👿👿👿👿👿👿👿SASA YAMETIMIA☠☠â˜
SASA TUONE KAMA ZILE TAMBO ZA JIWE KUWA ANGEWAPOTEZA NUSU YA WAJUMBE WA NEC. KAMA ALIKUWA ANAMZODOA JK TU AU ALIKUWA NA HUO UBAVU WA KUFANYA KWELI.
JIWE ANAUMBUKA NA TAMBO ZAKE. KAGUSA PASIPOGUSIKA.
CCM INA WENYEWE.
..wasiwasi wangu ni kwamba vijana wanaweza kuamini kwamba KUDUKUA mawasiliano ya MPINZANI wako ni mbinu HALALI ya kisiasa.
..Kwa uelewa wangu kashfa ya Watergate iliyosababisha Raisi Richard Nixon auteme wadhifa wake ilihusu makosa ya udukuaji yaliyofanywa na timu yake ya kampeni.
..Sijui sheria zetu za udukuaji mawasiliano zinasemaje.
Cc Nyani Ngabu, Kiranga
Mimi sijawaelewa. Mmeshangazwa na nini kwenye hayo mazungumzo? Mbona ni mambo ya kawaida kabisa. Just men's talk. You guys need to grow up. Kwanza kwa nini mnaingilia mawasiliano binafsi ya watu? hiyo ni violation ya privacy.
Kwa katiba hii mbovu chochote anachofanya rais inaonekana yuko sawa, na kundi linalotokea kubariki huo ushenzi ni kundi lile lile linafaidika madaraka ya rais. Wacha rais achezee madaraka apendavyo, lakini hata yeye atakapotoka atajikuta kwenye wakati mgumu. Kwani hata hao anaowasulubu sasa, walipokuwa wanafanya uhuni waliona ni sawa na kubatizwa kuwa ni mbinu za kisiasa
Tunasubiria zile tambo zake kuwa yeye ni jiwe na angewapoteza nusu ya wajumbe kwa kuimba wana imani na mtu fulani. Lazima aumbuke. Tunamsubiri ajisogeze kwenye kona tupige nyundo kichwani. MEMBE FOR PRESIDENT.Wapi Jiwe ameumbuka....!!?
punguza ushadadizi...
nadhani walioumbuka ni hao alleged persons kwenye clip....
Kama Musiba tulimpuuza na sasa tuameanza kumkubali vipi smartboy Msando na ukaribu wake Ikulu?unamuamini Msando ?